Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

Nashindwa kuelewa. Ni kwamba hatongozwi au anachagua sana? Au anaowapata wameshindwa kumtia mimba? Haiingii akilini

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Maswali ya namna hii mleta mada ameshindwa kabisa kuyajibu. inaonekana kuna jambo kubwa la siri mnao penda kwa Sadala au kitonga muwe makini huko.
 
na sisi wa miaka 25, 26 tunsruhusiwa kutuma maombi.
 
Mnatafuta waumini mpaka mtandaoni?![emoji30][emoji30][emoji30]
 
unataka mkaka wa umri gan??? au yyte yle atayeweza show???
 
Duh
 
Kha...huyo boti la kuzaa lilishamuacha. Sasa azae mtoto akiwa na miaka 41 kweli. Mbona mnataka kumtesa tuu huyo mtoto
tusipende kuvunjana moyo binadamu mzaaji ni yeye mwendesha boti ni yeye vipi wewe kumkatisha tamaa. namwombea apate mtu serious na apate watoto idadi apendayo
 
tusipende kuvunjana moyo binadamu mzaaji ni yeye mwendesha boti ni yeye vipi wewe kumkatisha tamaa. namwombea apate mtu serious na apate watoto idadi apendayo
Huo ni ubinafsi wakutokufikiria watoto au kisa hawawezi kusema? Watoto raha uweze kuruka ruka na mzazi sio mzazi ata kuruka kamba hawezi sasa kunanraha gani ya kuwa mtoto
 
pm kama uko serious nikuelekeze
 
Huo ni ubinafsi wakutokufikiria watoto au kisa hawawezi kusema? Watoto raha uweze kuruka ruka na mzazi sio mzazi ata kuruka kamba hawezi sasa kunanraha gani ya kuwa mtoto
aiseee kwahiyo walemavu wa miguu wasizae kisa hawawezi kuruka kamba ebu acha hizo hakuna umri maalum wa kupata mtoto ni pale Mungu akibariki
 
Kwani mbona mwanaume kuzaa nae rahisi sanaaa tena bila hata yeye kujuaa... Atafuye kijana HB amuhonge hivi wapime ngomaa awe anamgonha kavuuu.. Akiona amepata mimba anamuacha jamaaa

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…