Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

Unakula kwa mchungaji?
 
goli la mbali hilo....@39yrs.......kweli hajawahi tongozwa koooote hukoo.....muwe makini mno....dalali na mwenye chake........anyway sorry...
 
Hapa ukiuluza sana hapa utakela watu anyway mwambie aache ulokole sana ajichanganye na asiwe mchoyo na nyapu yake awape vijana wamkekete
 
Tupe histora yake ya mahusiano. Ya kimapenzi. imekuaje hadi amefikia hapo hajaolewa wala kupata mtoto?

Muunge na serious Dating sites/App... !
Unaipata kwenye Play store sio ama
 
Huenda alikuwa na tatizo ila sasa ufumbuzi umepatikana.

Kwa hyo Kazi iendelee
[emoji39]

Au yeye anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…