Nipo tayari na nimekidhi vigezo. Naomba namba.Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba...yeye hayumo sio member humu..kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri..yeye ana umri wa 31 yrs na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake...
Sifa zake
-Mweusi
-urefu Size ya kati
-Ana elimu ya degree
-Ana kampuni yake
-Ana maisha yake anajitegemea
-Ana hofu ya Mungu...
-Anaishi Dar es salaam
Sifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
Kwa yeyote ambae yuko tayari nimpe namba waweze kuwasiliana..nitawasaili kwa niaba..
hahahaha unajua kila mtu ananjia zake huwezi jua labda mimi nikawa daraja lake..maana hata leo kanikumbushia...Aisee kwa hiyo huko mtaani Kazini hakuna kabisa wanaomtaka
Wasomi huwa na sura personal, rejea mheshimiwa speaker😄Aisee kwa hiyo huko mtaani Kazini hakuna kabisa wanaomtaka
Si ndio maana nikaomba unitumie namba tuthaminishane.She is cute kwa macho yangu labda ww unaweza ona tofauti.
Samahani mkuu, amesomea degree ya programe gani, chuo kipi ? GPA yake ilikuwa ni ngapi ?Ana elimu ya degree
Apo ambao tuna focus ngono tushafeli vigezoNina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba...yeye hayumo sio member humu..kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri..yeye ana umri wa 31 yrs na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake...
Sifa zake
-Mweusi
-urefu Size ya kati
-Ana elimu ya degree
-Ana kampuni yake
-Ana maisha yake anajitegemea
-Ana hofu ya Mungu...
-Anaishi Dar es salaam
Sifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
Kwa yeyote ambae yuko tayari nimpe namba waweze kuwasiliana..nitawasaili kwa niaba..
Naona shida yako umeamua kudanganya ni ya rafiki yako.[emoji1][emoji1]Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba...yeye hayumo sio member humu..kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri..yeye ana umri wa 31 yrs na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake...
Sifa zake
-Mweusi
-urefu Size ya kati
-Ana elimu ya degree
-Ana kampuni yake
-Ana maisha yake anajitegemea
-Ana hofu ya Mungu...
-Anaishi Dar es salaam
Sifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
Kwa yeyote ambae yuko tayari nimpe namba waweze kuwasiliana..nitawasaili kwa niaba..
Amna ayaweke wazi kama alivyotoa hizo sifa nyingine 😃😃😃 wanaume wenye wako na 35 yrs wanataka manzi mwenye yuko na GPA ya first class .... mwambie aweke cv ake hapaDuuh sio kwamba haya maswali mtaulizana wenyewe in case nikikupa namba?
Mwanaume anaetaka kuoa sura ni kigezo cha mwisho kuangaliaWasomi huwa na sura personal, rejea mheshimiwa speaker😄