Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Ofcourse nitawapa namba..but kwa yule sincerely atakaenifata pm na kuona ataleast anamaanisha sio kutoa namba hapa...
Subiri niandae essay la kufa mtu la kujielezea kwanini ni suitable candidate wa kuwa mwenza wake wa ndoa. Nitaelezea jinsi gani nitachangia kimawazo kuendeleza kampuni yetu, kuipeleka kimataifa.
 
Why problem ni umri? 31 ni mdada mbichi sana

Kampuni yake inahusika na nini?
Subiri nimscreenshotie mtu hapa

Rafiki yako ana weza kuanza mechi 2-0? 😅
Bado embe bichi Sana! La kulia na chumvi kabisa
 
Mtoto vipi? Wewe au yeye?yeye hana mtoto
Kwakweli kuhusu ufeminist sijui coz alinambia anatamani familia japo ana kila kitu amelack familia so anatamani kuwa kama mimi..so nadhani kwa jibu hili sio feminist
Mwambie afunue Bible asome ISAYA 4:1 kwanza alafu alafu ajitafakari then... Aendelee kucheka
Sifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom