Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Nitampa mtu mwenye yupo siriaz namba hizo info ni too personal
Utamkosesha mume mwenzio. U serious utaujua vipi kupitia comments?
Kwa waliokuomba namba wape, muache muhusika awe muamuzi wa yupi alie serious na yupi anataka kula mzigo tu.
Naamini atakuwa smart enough kulijua hilo. Na huwezi juwa, pengine wale mapepe ndio wakamvutia.
 
Why problem ni umri? 31 ni mdada mbichi sana

Kampuni yake inahusika na nini?
Subiri nimscreenshotie mtu hapa

Rafiki yako ana weza kuanza mechi 2-0? 😅
Hahaha kampuni yake inahusika na mambo ya consultancy....alisomea BBA(Bachelor of B'ness Admn)ali opt kwenye Human resource
 
Utamkosesha mume mwenzio. U serious utaujua vipi kupitia comments.
Kwa waliokuomba namba wape, muache muhusika awe muamuzi wa yupi alie serious na yupi anataka kula mzigo tu.
Naamini atakuwa smart enough kulijua hilo. Na huwezi juwa, pengine wale mapepe ndio wakamvutia.
Ofcourse nitawapa namba..but kwa yule sincerely atakaenifata pm na kuona ataleast anamaanisha sio kutoa namba hapa...
 
Hahaha kampuni yake inahusika na mambo ya consultancy....alisomea BBA(Bachelor of B'ness Admn)ali opt kwenye Human resource
Nafikiri alimaanisha kampuni yake inaingiaje kwenye kutafuta mpenzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom