Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba...yeye hayumo sio member humu..kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri..yeye ana umri wa 31 yrs na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake...

Sifa zake
-Mweusi
-urefu Size ya kati
-Ana elimu ya degree
-Ana kampuni yake
-Ana maisha yake anajitegemea
-Ana hofu ya Mungu...
-Anaishi Dar es salaam

Sifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
Kwa yeyote ambae yuko tayari nimpe namba waweze kuwasiliana..nitawasaili kwa niaba..
Dah! Sifa ya kujielewa imenitoa kwenye kinyang'anyiro.
 
Sifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
Kwa yeyote ambae yuko tayari nimpe namba waweze kuwasiliana..nitawasaili kwa niaba..
Huyu vigezo vyake vinahimilika hana mambo mengi sio wale wa funguo tatu. Inaonekana anataka tu wa kuishi naye wa kumsugua K ainjoi
 
Basi mm ndo nimechemka hapo ni mm ndo nimemuandikia kuongeza manjonjo...kwa sababu ndo kazi yake..kumbe ningesema amejiajiri

Ungesema amejiajiri. Maana kampuni inaonesha ana maisha makubwa kwa watu wengine . Huku tunaojua ukweli tunajua dada ana hustle tu.

Pia expectations zisiwe kubwa kwa suitable candidate
 
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba...yeye hayumo sio member humu..kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri..yeye ana umri wa 31 yrs na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake...

Sifa zake
-Mweusi
-urefu Size ya kati
-Ana elimu ya degree
-Ana kampuni yake
-Ana maisha yake anajitegemea
-Ana hofu ya Mungu...
-Anaishi Dar es salaam

Sifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
Kwa yeyote ambae yuko tayari nimpe namba waweze kuwasiliana..nitawasaili kwa niaba..
Kataa ndoa sasa imekuja version ya mwanaume kubali dili la kuolewa khaaa ni manoma manoma tu
 
Jina lake anaitwa nani?
Alishawahi kuwa kwenye mahusiano hapo awali na yalidumu kwa kipindi gani?
Upande wa familia yake, Wazazi wote wapo bado au ni yatima?
Je umbo na urefu wake unaweza kadiria?
Ni kabila gani?
 
Downers huwa hamkosekani! 😏😏
Nasikia siku hizi mada za wachawi zinajadiliwa sana na vijana, wanadhani na kuhisi wanarogana wao kwa wao kwamba wachawi sio wazee tena, kuna ukweli hapo?

Sometimes hakuna anaekuroga zaidi ya kujiroga mwenyewe fungua Bible soma Isaya 4:1 ufungue akili yako wakati umekaribia ambao wanaume watatafutwa kwa TOCHI na wasipatikane kabisa,
 
Ebu sogea sogea mpaka kwenye Sura ya 34:16
Biblia ina majibu yote mkuu kwa wale waaminio.

Btw, wanasimba hutindikiwa hata wakapata njaa lakini watoto wa Mungu hawataona njaa kamwe!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom