Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Yani unachekesha mpk unajicheka mwenyewe..njoo ulalwe na ww naona unaona wanafaidi sana hao wanaume..
Swaiiinnii kitimoto ww ...
Unless rafiki yako kashapata wa kufanana naye, nadhani you should stick to the thread. Otherwise thread yako inaanza kupoteza consistency.
Jaribu kuignore comments zinazochochea hasira
 
Unless rafiki yako kashapata wa kufanana naye, nadhani you should stick to the thread. Otherwise thread yako inaanza kupoteza consistency.
Jaribu kuignore comments zinazochochea hasira
Ameshapata wa kuchagua mkuu tunasubiri muendelezo...
Na PM imeshafungwa...
Mniwe radhi
 
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.

Sifa zake;
  • Mweusi
  • Urefu Size ya kati.
  • Ana elimu ya degree.
  • Ana kampuni yake.
  • Ana maisha yake anajitegemea.
  • Ana hofu ya Mungu.
  • Anaishi Dar es salaam.

Sifa za mwanaume amtakae;
  • Yoyote mwenye kujielewa.
  • Mwenye kufocus na maisha.
  • Umri miaka 35 na kuendelea.
  • Dini mkristo.

Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Ccy kwa hyo na mim mchumba unanitafutia au njitafutie mwenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom