Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Masikhara pembeni mwanaume ssrious na maisha hawezi tafuta mke wa kuunganishiwa rafiki hizo ni somjo tuu. Ukiwa serious wanawake wanajileta wenyewe unajichagulia tuu.
Wee kama unataka rafiki apate mtu nipigie pande mie mzabzab. Ataenjoy maana wote sie wananchi. Full kwenda taifa tuu
Ww hujui connection zaidi ya kula kimasihara...kuna connection zinakuaga na baraka acha kabisa..
 
This post boosted my self confidence ,kumbe wanaume tumebaki wachache asee mpaka uhaba hivi akati enzi izo ukienda disco vumbi mwanamke mmoja wanaume 10 mwengine mradi abambie ata shingo😁
Kabisa mwanawane yaani ata mie imenipa nguvu ya kumnyima huyu pisi kali hela ya kwenda out. Kumbe tunaweza anza kutafutwa muda wowote
 
Kabisa mwanawane yaani ata mie imenipa nguvu ya kumnyima huyu pisi kali hela ya kwenda out. Kumbe tunaweza anza kutafutwa muda wowote ule
Akikukuomba mwambie aache usumbufu mwambie rafiki yake na kalpana mda wowote anaingia uwanjani kama garnacho akitokea sub😁
 
Akikukuomba mwambie aache usumbufu mwambie rafiki yake na kalpana mda wowote anaingia uwanjani kama garnacho akitokea sub😁
Kabisa...hawa wanawake hawapaswi kutuumiza kichwa wao wanapaswa kutuhonga sie hela tuwagegede
 
Mwanaume mwenye miaka 35, anayejielewa, mwenye focus na maisha hawezi kuunganishiwa mwanamke.

Labda kama ni member wa kula tunda kimasihara na Mkataa ndoa hapo sawa.

Akibaki na ivyo vigezo rafiki yako atapata mwanaume marioo au akubali tunda liliwe kimasihara
Kwani mkataa ndoa hajielewi? Hana focus na maisha?😂
 
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.

Sifa zake;
  • Mweusi
  • Urefu Size ya kati.
  • Ana elimu ya degree.
  • Ana kampuni yake.
  • Ana maisha yake anajitegemea.
  • Ana hofu ya Mungu.
  • Anaishi Dar es salaam.

Sifa za mwanaume amtakae;
  • Yoyote mwenye kujielewa.
  • Mwenye kufocus na maisha.
  • Umri miaka 35 na kuendelea.
  • Dini mkristo.

Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Yeye hataki mrefu na mweusi mwenye vinyweleo mashavuni?
 
Kwani mkataa ndoa hajielewi? Hana focus na maisha?😂
Mkataa ndoa anaweza akawa anajielewa na ana focus na maisha ila sasa akawa ni mdau wa kula tunda kimasihara, huyu dada atapata stress isiyo ya kawaida.

Kumbuka wakataa ndoa azimio lao ni kuzalisha tu, sasa dada kama huyu ni potential kwa huo mradi wa uzalishaji so akikutana na Mkataa ndoa imekula kwake.
 
Masikhara pembeni mwanaume ssrious na maisha hawezi tafuta mke wa kuunganishiwa rafiki hizo ni somjo tuu. Ukiwa serious wanawake wanajileta wenyewe unajichagulia tuu.
Wee kama unataka rafiki apate mtu nipigie pande mie mzabzab. Ataenjoy maana wote sie wananchi. Full kwenda taifa tuu
😀😀😀
 
Siku hizi kutafuta mwenza kwenye mitandao siyo jambo la ajabu. Infact mimi huwa nadhani ndiyo njia pekee ya kupata watu ambao wako serious. Japo mtu unatakiwa uwe na tahadhari sana sana kwa sababu mwanzoni wanakuja watu wengi wenye nia ''ovu'' lakini unaweza kuwachuja. Kikwazo kingine ni kuwa kuna watu, hasa wanaume wana tabia ya 'kuumba'' mwanamke kwa kutumia kigezo cha maandishi yake hapa. Yaani mtu anajenga sura fulani just kwa kutumia swaga za mwanadada, jinsi anavyochangia post hapa. Na wengi huwa na kawaida ya kuweka high expectections, kuwa huyu lazima awe mzuri sana na mwenye uwezo. Mimi nadhani mke au mume mtarajiwa unaweza kumjenga na kumfanya awe utakavyo mradi tu mmependana. TAHADHARI. usipende kuvutiwa na sura kwanza au mali. Jali kilichomo ndani yake na how potential she/has...
Umetumia busara sana
 
31yrs bado binti mdogo tu, atapata hitaji lake japo screening na sorting ya nguvu inahitajika, hasa kupitia jukwaa hili manake vijana nao wana yao mengi siku hizi.

Kila la heri kwake.
Nasubir Uzi wako wa kutafuta mke wa pili 😀
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom