Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.

Sifa zake;
  • Mweusi
  • Urefu Size ya kati.
  • Ana elimu ya degree.
  • Ana kampuni yake.
  • Ana maisha yake anajitegemea.
  • Ana hofu ya Mungu.
  • Anaishi Dar es salaam.

Sifa za mwanaume amtakae;
  • Yoyote mwenye kujielewa.
  • Mwenye kufocus na maisha.
  • Umri miaka 35 na kuendelea.
  • Dini mkristo.

Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Wanaume tunatafutwa kama hela kudadadeki, huyo dem asiwe na deni la bodi ya mikopo niunganishe nae na awe na kipato cha kueleweka sio mbambamba ategemee hela zangu kila kitu ninganishe nae.
 
hahahaha unajua kila mtu ananjia zake huwezi jua labda mimi nikawa daraja lake..maana hata leo kanikumbushia...
Wanaume wanaogopa watu waliowazidi vitu fulani labda shoga ndo anapokwama hapo..
Ila humu kuna watu wapo aggressive na wana uthubutu
Asee umri tu ndiyo umeniangusha nimekosa dodo hilo
 
Mwanaume mwenye miaka 35, anayejielewa, mwenye focus na maisha hawezi kuunganishiwa mwanamke.

Labda kama ni member wa kula tunda kimasihara na Mkataa ndoa hapo sawa.

Akibaki na ivyo vigezo rafiki yako atapata mwanaume marioo au akubali tunda liliwe kimasihara
Ukweli mtupu. Huyo akubali tuu kutulia na kina mzabzab lakini sio wanaume makini na mwenye focus na maisha
 
This post boosted my self confidence ,kumbe wanaume tumebaki wachache asee mpaka uhaba hivi akati enzi izo ukienda disco vumbi mwanamke mmoja wanaume 10 mwengine mradi abambie ata shingo😁
 
😄😄😄This post boosted my self confidence ,kumbe wanaume tumebaki wachache asee mpaka uhaba hivi akati enzi izo ukienda disco vumbi mwanamke mmoja wanaume 10 mwengine mradi abambie ata shingo😁
Vimbaaa mzee baba 😄😄😄😄
 
Acha uharibifu
Masikhara pembeni mwanaume ssrious na maisha hawezi tafuta mke wa kuunganishiwa rafiki hizo ni somjo tuu. Ukiwa serious wanawake wanajileta wenyewe unajichagulia tuu.
Wee kama unataka rafiki apate mtu nipigie pande mie mzabzab. Ataenjoy maana wote sie wananchi. Full kwenda taifa tuu
 
This post boosted my self confidence ,kumbe wanaume tumebaki wachache asee mpaka uhaba hivi akati enzi izo ukienda disco vumbi mwanamke mmoja wanaume 10 mwengine mradi abambie ata shingo😁
Kabisa mwanawane yaani ata mie imenipa nguvu ya kumnyima huyu pisi kali hela ya kwenda out. Kumbe tunaweza anza kutafutwa muda wowote ule
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom