Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Asanteni kwa ushirikiano na mshikamano..
 
Wanaume rijali ungemalizia, vita ni kubwa mnooo yaan.

Bottoms wanavuta kushoto, wanawake wanavuta kulia.

Wanaume rijali kazi wanayooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuomba papuchino kule kwenye ule uzi ukakimbiq
 
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.

Sifa zake;
  • Mweusi
  • Urefu Size ya kati.
  • Ana elimu ya degree.
  • Ana kampuni yake.
  • Ana maisha yake anajitegemea.
  • Ana hofu ya Mungu.
  • Anaishi Dar es salaam.

Sifa za mwanaume amtakae;
  • Yoyote mwenye kujielewa.
  • Mwenye kufocus na maisha.
  • Umri miaka 35 na kuendelea.
  • Dini mkristo.

Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Kiufupi ni kwamba hapa mwanamme anatongozwa
 
Nje ya box kidogo : Kwa ayo matusi yote niliyosoma uko juu hakuna aliyelambwa ban mpaka sasa.!!!

Kila la kheri kwake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom