Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Mwanangu wewe ni wa kukurupuka tuu🤣🤣🤣🤣
Wapi mdada ameandika anatafuta mwenye kampuni??
Hujambo lakini?😂😂😂
Hii Nini????
 
Attachments

  • Screenshot_20230225-124504.png
    Screenshot_20230225-124504.png
    37.5 KB · Views: 5
Hii Nini????
vuta picha hakuna wadhifa, yupo bujonde na watoto kadhaa.

kinachoonekana sasa ni nguvu pesa.
Hahaah haya bana ila nashukuru mambo yanaenda vzr...
I will testify one day hapa kwa ijili ya rafiki yangu...
Mtu akikuomba msaada ni vyema ukamsaidia..
Na nimemsaidia kwa kulifikisha hapa..the rest will be history
 
I still believe I am the best candidate. Yani kwangu hatokuwa na haja hata ya house boy. Nyumba yake ambayo baada ya ndoa itakuwa yetu nitahakiksha naisafisha, nampikia, namfulia na pia naenda kwenye kampuni yetu kufanya kazi.

Nikifanikiwa sitokusahau mshenga ukija home kwetu kututembelea nakupa huduma kama Salt Bae 😀 😀
 
Dooooh hii kalii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom