Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.

Sifa zake;
  • Mweusi
  • Urefu Size ya kati.
  • Ana elimu ya degree.
  • Ana kampuni yake.
  • Ana maisha yake anajitegemea.
  • Ana hofu ya Mungu.
  • Anaishi Dar es salaam.

Sifa za mwanaume amtakae;
  • Yoyote mwenye kujielewa.
  • Mwenye kufocus na maisha.
  • Umri miaka 35 na kuendelea.
  • Dini mkristo.

Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Awe mshabiki wa Simba
 
Mwanaume mwenye miaka 35, anayejielewa, mwenye focus na maisha hawezi kuunganishiwa mwanamke.

Labda kama ni member wa kula tunda kimasihara na Mkataa ndoa hapo sawa.

Akibaki na ivyo vigezo rafiki yako atapata mwanaume marioo au akubali tunda liliwe kimasihara
 
Msenge tuu wewe...nakwambia ww kwangu ww ni msenge na haitabadilika...sitakaa kukusujudu ww uliekosa akili nilikwambia pale juu utasema yote..ila ww ni kibiriti ngoma wa kiume..nitakutusi vile unaleta matusi yani nakwambia hivi ni tit fo tat..Usitaje jina la Mungu kwny huo mdomo wako unaonuka k vant...
Ukaidi wangu ni kwa watu kama wewe punga zeze...
You’re insane as I told you...Mungu akunusuru na hilo pepo chafu na hakika huna lolote zaidi ya huo ujuaji wako na upumbavu wa fikra ulizonazo...Mungu akusamehe bure kwani hujui unenayo yakudhirisha kwa kiasi gani
 
Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.

Sifa zake;
  • Mweusi
  • Urefu Size ya kati.
  • Ana elimu ya degree.
  • Ana kampuni yake.
  • Ana maisha yake anajitegemea.
  • Ana hofu ya Mungu.
  • Anaishi Dar es salaam.

Sifa za mwanaume amtakae;
  • Yoyote mwenye kujielewa.
  • Mwenye kufocus na maisha.
  • Umri miaka 35 na kuendelea.
  • Dini mkristo.

Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Je huyo mrembo ni mpenzi wa simba aua yanga...nijue kabla ya kirusha ndoano plz
 
Mwanangu wewe ni wa kukurupuka tuu🤣🤣🤣🤣
Wapi mdada ameandika anatafuta mwenye kampuni??
Hujambo lakini?😂😂😂
Dada wa Mabomu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom