Namtafutia mwanangu nafasi ya form one 2025 mikoa ya mwanza Geita Shinyanga Simiyu Mara

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
Heshima Kwenu,

Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba.

SIFA ZA SHULE
1. Shule ni lazima iwe boarding.
2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka.
3. Nazingatia zaidi Good and strict parenting kwa watoto, Taaluma kwangu iwe option ya pili au ya tatu.
4. Usafi na Lishe kwa wanafunzi uwe fair

Mimi ndugu zangu muda ni changamoto kubwa.

Je, shule ya sifa hizo ipo wapi.
Msaada tafadhari.
 
Heshima Kwenu,

Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba.

SIFA ZA SHULE
1.Shule ni lazima iwe boarding.
2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka.
3.Nazingatia zaidi Good and strict parenting kwa watoto, Taaluma kwangu iwe option ya pili au ya tatu.
4.Usafi na Lishe kwa wanafunzi uwe fair

Mimi ndugu zangu muda ni changamoto kubwa..
Je shule ya sifa hizo ipo wapi.
Msaada tafadhari.
Kuna shule ipo SHINYANGA inaitwa Savannah plains ni nzuri inacheck all the boxes umeweka hapo kasoro moja tu la ADA ,kwao ada ni 3.780.000 per year lakini unaweza kulipa kwa muhula 945k ! For more info check nao wapo instagram savannahplains_tz
You’re welcome
 
Your welcome
Masahihisho kidogo tu ndugu mwalimu, andika

You are welcome au
You're welcome.
 
Kuna shule ipo SHINYANGA inaitwa Savannah plains ni nzuri inacheck all the boxes umeweka hapo kasoro moja tu la ADA ,kwao ada ni 3.780.000 per year lakini unaweza kulipa kwa muhula 945k ! For more info check nao wapo instagram savannahplains_tz
You’re welcome
Bosi, hiyo shule niliwahi kuisikia siku za nyuma..ila nasikia ni aghali sana
 
Back
Top Bottom