Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Kuna shule ipo SHINYANGA inaitwa Savannah plains ni nzuri inacheck all the boxes umeweka hapo kasoro moja tu la ADA ,kwao ada ni 3.780.000 per year lakini unaweza kulipa kwa muhula 945k ! For more info check nao wapo instagram savannahplains_tzHeshima Kwenu,
Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba.
SIFA ZA SHULE
1.Shule ni lazima iwe boarding.
2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka.
3.Nazingatia zaidi Good and strict parenting kwa watoto, Taaluma kwangu iwe option ya pili au ya tatu.
4.Usafi na Lishe kwa wanafunzi uwe fair
Mimi ndugu zangu muda ni changamoto kubwa..
Je shule ya sifa hizo ipo wapi.
Msaada tafadhari.
Masahihisho kidogo tu ndugu mwalimu, andikaKuna shule ipo SHINYANGA inaitwa Savannah plains ni nzuri inacheck all the boxes umeweka hapo kasoro moja tu la ADA ,kwao ada ni 3.780.000 per year lakini unaweza kulipa kwa muhula 945k ! For more info check nao wapo instagram savannahplains_tz
Your welcome
Mkuu vp ada imesimamajeKuswekwa ipo Bariadi mjini. Simiyu
Bosi, hiyo shule niliwahi kuisikia siku za nyuma..ila nasikia ni aghali sanaKuna shule ipo SHINYANGA inaitwa Savannah plains ni nzuri inacheck all the boxes umeweka hapo kasoro moja tu la ADA ,kwao ada ni 3.780.000 per year lakini unaweza kulipa kwa muhula 945k ! For more info check nao wapo instagram savannahplains_tz
You’re welcome