Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia


Lamomy ulishamwambia huyo kaka humtaki..... lakini huwa una hamu nae?

How?

Najiuliza kama simtaki mtu nakuwa na hamu nae kiaje? Na nikiwa na hamu nae wakati nilishamwambia simtaki namtafutaje?
 
Nilichojifunza ni kwamba upo kwenye mahusiano na Mwanaume ambaye humpendi wakati yeye amekufa ameoza kwako.

Nafikiri utafanya vizuri kumwambia ukweli huyo mpenzi wako kwamba hauna hisia naye, hivyo aangalie utaratibu mwingine.

Kulazimisha mapenzi Kwa mtu ambaye hujampenda/hakupendi ndiyo inapelekea wakati mwingine watu kuuana.

Ni vizuri kuanza upya, kuliko kumpotezea mwenzio muda wake.
 
Sio mbaya kikubwa ukiwa naye anaibamiza hiyo kitu, nadhan Kwa Malegend hiyo ndo muhim
 
Punguza umalaya
 
Alishawahi kujifanya ana demu anamsifia ili niumie, ajabu nilikua namuona kituko na nikampa go ahead akaishia kuja kutoa maelezo kwamba alitaka kujua km nampenda
Haha huyo jamaa ako miyeyusho alifeli tokea mwanzo kukuonesha anakupenda! sema nini usimchukie mjuba after sex kama hana kibamia au ndio anakuchafua 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…