Huwa nashangaa sana nikiona collective thoughts za waafrika hasa mitandao ya kijamii, Utaona mtu kaandika "Mwaka huu utapata milioni 100, andika amen" basi utakuta mpaka komenti elfu 1 watu wanaamini watajaziwa pesa kwenye mito wanayolalia waamke wazikute kama mapera.
Wengine hata kujishughulisha ni nehi, mtu yupo serious anakwambia aliepewa kapewa, kila mtu ana rizki yake, na misemo mingine inayomfanya mtu aridhike na sehemu alipo bila kuwa na kiu ya kutafutamaarifa mapya, changamoto mpya, n.k
No wonder Africa tupo nyuma sana kimaendeleo, na jinsi tulivyo wanafki mtu hujifanya kumtegemea Mungu kumbe nyuma ya pazia ni mshirikinam, hapendi maendeleo ya wengine, Mzinzi aliekubuhu, n.k.