Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Ngoja nipate muda wa kuwaza vizuri. Ila amenikwaza sana

Najua wasema hii kauli ili kujifariji sababu labd unampend which I understand,ila brother kama ni mtu ambae umepanga kutokuwa na future inavumilika ila kama umepanga kuishi nae katika shida na raha huyo hawezi change,ata act kubadilika kiasi ukimsema ila kama ni hulka yake itajitokeza tena na mbaya zaidi itakuwa ndani ya ndoa which is too late,mwanaume huwa anafanya maamuzi magum,usidharau hilo ,thats a big red flag kama imejitokeza zaidi ya mara mbili ujue ndio hulka yake,kama unajipa time fanya kuacha tena 50k au zaidi akirudia mchezo huo piga chini direct usipofanya hivo utaingia kwenye zile records za ndoa zinazodum muda mchache,mapenzi hayana ushauri tumia akili zako ila this is reality,HAKUNA MWANAMKE HAPO,personal mwanamke mwenye matumizi mabaya ya pesa kwangu it’s a turn off kabisa
 
Mtu kama haonei huruma hela yako, hawezi kukuhurumia hata wewe..

Kama hakuhurumii wewe, hawezi kujali harakati zako.

Kama hajali harakati zako, hawezi kuona umuhimu wako kipindi huna hizo harakati.

Mvumilie tu. Sasa unataka kunuachia nani hilo zigo?
 
Huyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.

Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Tafuta helaaa. 50k kitu gani? Sisi mbona tunaacha 100k kila siku na inaisha yote na wala hatuulizi
 
Ahsante kwa ushauri mkuu
Najua wasema hii kauli ili kujifariji sababu labd unampend which I understand,ila brother kama ni mtu ambae umepanga kutokuwa na future inavumilika ila kama umepanga kuishi nae katika shida na raha huyo hawezi change,ata act kubadilika kiasi ukimsema ila kama ni hulka yake itajitokeza tena na mbaya zaidi itakuwa ndani ya ndoa which is too late,mwanaume huwa anafanya maamuzi magum,usidharau hilo ,thats a big red flag kama imejitokeza zaidi ya mara mbili ujue ndio hulka yake,kama unajipa time fanya kuacha tena 50k au zaidi akirudia mchezo huo piga chini direct usipofanya hivo utaingia kwenye zile records za ndoa zinazodum muda mchache,mapenzi hayana ushauri tumia akili zako ila this is reality,HAKUNA MWANAMKE HAPO,personal mwanamke mwenye matumizi mabaya ya pesa kwangu it’s a turn off kabisa
 
Huyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.

Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.

Nafikiri huyo mwanamke ni more classy than you, nilifikiri kanunua maitaji binafsi, kumbe ni vyakula...

Tunawaambiaga achaneni na wanawake wanaowazidi akili na mitazamo hamsikii.

Huyo mwanamke sio ubaya, tatizo mtazamo wako wa kifukara wala hakuna lingine.
 
Back
Top Bottom