Namuacha mpenzi wangu kisa DP WORLD

Wewe unaweza ukawa umeleta Chai ..Mimi nilipiga chini pisi Kali kipindi Cha Richmond ...alikuwa anatetea kina Lowasa! Alinikera nikamwambia ..basi hatuendani ,hakuamini!
Cha ajabu Mimi huyu huyu baadaye Mwaka 2015 nikampigia kura Lowasa!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwenye Siasa hakuna Uadui wa kudumu!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sauti iko barabara kabisa hii
 
Kuna best yangu anakosa nafasi japo yy ni kada...kisa anakataa kutoa papa..yani kila akienda huku ni papa inatakwa..nikamwambia achana na chama unakosa nini kwani?.
 
Kuna best yangu anakosa nafasi japo yy ni kada...kisa anakataa kutoa papa..yani kila akienda huku ni papa inatakwa..nikamwambia achana na chama unakosa nini kwani?.

Ndio zao watu wanatumika sana huko chamani, halafu anayeng’ang’ania papa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni huzuni kwakweli, wanawake vyeo wanavipata kiugumu sana!! Km mke wa mtu ndio hatari zaidi bora single lady hana cha kupoteza
 
Mke wa mtu..namshangaa namwambia achana na mambo ya vyama..watu wanaotaka papa anasema wabaya mnoo...hahahahaah
 
Mke wa mtu..namshangaa namwambia achana na mambo ya vyama..watu wanaotaka papa anasema wabaya mnoo...hahahahaah

Huyo ana tamaa na akipata, mume wake hakuna rangi ataacha kuona kwa mkewe!!!!

Na ataendelea kutumika kingono kwa hao waliompa cheo, wakimchoka wanambwaga anakuwa hana jipya……

Endelea kumshauri uenda atakusikia, maana naona dalili mbaya ya ndoa kuwa na migogoro au kuvunjika kabisa
 
Sure...ukisemacho ni kweli...
 
Leo hata shoga akisimamia bandar tunaungana.
 
Nlidhani nishasikia yote
Embu toa namba zake tuone kwanini anakubali bandari wapewe waarabu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ mwamba hataki kusikia pesa mchezo KM hahaha au sio
 
Bandari inahusiana nini na mbususu?
Au na yeye ana gati 1,2,3, na 4 zinachukuliwa na DPW
 
Bandari inahusiana nini na mbususu?
Au na yeye ana gati 1,2,3, na 4 zinachukuliwa na DPW
Kuwa serious bro mtu anashikana na wanetu kuwa watumwa wa Hawa mabasha sio wakuchekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…