Romantic Boo
Member
- Dec 28, 2018
- 22
- 6
What a loss.
28 years wazazi wanasubiri mchumba na mjukuu. Wewe unataka ukahangaike na wake za watu.
If I were you I wouldn't mention if I was Christian.
You know why? Refer to the 10 Commandments.
Wewe mzee bwanaNaomba kuwasilisha...[emoji30][emoji30][emoji30]View attachment 1014947
Nimeitika mama...[emoji45] [emoji45]Wewe mzee bwana
Khaa mwanaume mwenzio unamuita mama?Nimeitika mama...[emoji45] [emoji45]
Ohhhppppssss...[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Habari wanajamii.
Mimi ni kijana 28yrs, tall-white, self-employed (najiweza).
Nahitaji mwanamke wa age 30-45 (awe vizuri financially). Sichagui dini, rangi wala kabila....hata kama una mtoto/watoto. We njoo pm tuzungumze, tutaelewana tu.
Welcome PM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri kwenye kulelewa mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itabidi avumilie si anataka slopeNa kutumikishwa kiunoni daadeqi. Sijui atayaweza ama atarudi hapa analia?
Asante mkuu. Ila umekosea kitu kimoja, ambacho ni kuweka neno "kulelewa".Kila la heri kwenye kulelewa mkuu
Khaa!! We ndugu, bado upo tu kwenye uzi huu!!!! Me nilijua umesha move on, na kuendelea na mambo yako mengine. Au hauna kazi???.Na kutumikishwa kiunoni daadeqi. Sijui atayaweza ama atarudi hapa analia?
Samahani mkuuAsante mkuu. Ila umekosea kitu kimoja, ambacho ni kuweka neno "kulelewa".
Nadhani nilichokiandika kinasomeka vizuri, nimeweka wazi kwamba mimi ni "self-employed". Tena nikakazia kwenye mabano kwamba NAJIMUDU. Sinadhani kama, kuna eneo nimeandika "nataka au naomba kulelewa".
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usimuwakii sanaWhat a loss.
28 years wazazi wanasubiri mchumba na mjukuu. Wewe unataka ukahangaike na wake za watu.
If I were you I wouldn't mention if I was Christian.
You know why? Refer to the 10 Commandments.
Samahani mkuu