Namuhitaji COUGAR.

Namuhitaji COUGAR.

What a loss.

28 years wazazi wanasubiri mchumba na mjukuu. Wewe unataka ukahangaike na wake za watu.

If I were you I wouldn't mention if I was Christian.

You know why? Refer to the 10 Commandments.
 
Naomba kuwasilisha...[emoji30][emoji30][emoji30]
IMG-20190126-WA0000.jpg
 
Kila la heri kwenye kulelewa mkuu
Asante mkuu. Ila umekosea kitu kimoja, ambacho ni kuweka neno "kulelewa".

Nadhani nilichokiandika kinasomeka vizuri, nimeweka wazi kwamba mimi ni "self-employed". Tena nikakazia kwenye mabano kwamba NAJIMUDU. Sinadhani kama, kuna eneo nimeandika "nataka au naomba kulelewa".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kutumikishwa kiunoni daadeqi. Sijui atayaweza ama atarudi hapa analia?
Khaa!! We ndugu, bado upo tu kwenye uzi huu!!!! Me nilijua umesha move on, na kuendelea na mambo yako mengine. Au hauna kazi???.

Maana kitendo cha kuendelea kuonekana hapa, ni wazi una JAMBO. Sasa nadhani ni vema ungeliweka wazi, ili nijue au watu wajue namna gani usaidie, na sio kuanza kukashifu uzi wa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What a loss.

28 years wazazi wanasubiri mchumba na mjukuu. Wewe unataka ukahangaike na wake za watu.

If I were you I wouldn't mention if I was Christian.

You know why? Refer to the 10 Commandments.
Mkuu usimuwakii sana

Ni ishu ya taste and preference.

Ataoa akiwa na miaka 40 life begins at forty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom