Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

Maua JBC

New Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
2
Reaction score
18
Habari zenu,

Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.

Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.
 
Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.

Nina futi 6.67 na 105kg za misuli lkn, nitakucheki
 
Habari zenu,

Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.

Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na nia, haja na kusudi la hitaji la moyo wako, na hakika ukafanikiwe...
Aimen!
 
Habari zenu,

Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.

Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.
-Picha
-Body count inasoma ngapi.
-Ni single mother?(kama ndio baba wa mtoto yuko wapi)
-Ni muumini wa ufeminia?
 
Habari zenu,

Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.

Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.
Vipi wewe hutaki mwenye hela au umekubali yaisheee tu.muhimu mume tu!
 
Kwa hiyo huko unakofanyia kazi, unapoabudia, unakotembelea, unakoishi n.k umekosa kabisa mwanaume na unadhani huku JF ndio utampata aliye sahihi?
Haya mambo yanaongeleka kirahisi sana ila niamini mimi ukiwa bize na miangaiko yako watu wa kuingia nao kwenye mahusiano hauwaoni kabisa. Unatoka home asubuhi unarudi jioni umechoka unapumzika tu, ukienda kazi upo bize na majukumu ya kikazi ni ngumu masuala ya mapenzi kukujia akili. Inafika hatua unashangaa hao wengine wanawatoa wapi wapenzi wao. Mimi nilipomaliza chuo kipindi nilikua jobless aisee nimetembeza sana bolo mtaani ila sasa tangu nimeanza kujitegemea nakua bize na miangaiko ya maisha yaani hata hao mademu wa kuwatongoza siwaoni mtaani hata wachache ninaowa-spot nakosa muda wa kuwafatilia hii ndio maana watu wanaamua kujaribu mitandaoni.
 
Habari zenu,

Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.

Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.
Mwenye elimu hawezi oa mzee ataoa dogodogo

Anaejitambua hawezi kua mkweli
Mwenye hofu ya mungu hana hela

Yaan hawa watu ni zaidi ya watatu wote wanatakiwa eneo moja
 
Back
Top Bottom