Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

Habari zenu,

Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.

Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.
Una watoto wangapi??
Kama vipi kuwa tayari kuwa mke mdogo si wa pili no si wa tatu no.....
Tufanye kama babu zetu....
Kwa sasa wanawake mpo wengi sanaaa
 
Back
Top Bottom