TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Joined Monday
Kitu kimoja mtu anawaona hao wanaokuja kwake kumtongoza hawana umakini na wengi wanataka kuchovya wanasepa.Kwa hiyo huko unakofanyia kazi, unapoabudia, unakotembelea, unakoishi n.k umekosa kabisa mwanaume na unadhani huku JF ndio utampata aliye sahihi?
Wengi Ke/Me now wapo mitandaoni kutafuta wakiwa serious kuhitaji ndoa, siyo kwamba ni malaya au kakosa huko alipo bali ni mazingira yanakuwa magumu.