Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

Tuanze na wewe dada, kati ya umri wa 18-25 ulikua na hofu ya Mungu?

Maana age ya mwanaume ikiwa 30 na kuendelea ndio huwa anakua amejipata.
 
Habari zenu,

Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.

Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.
Weka/Post picha yko
 
Haya mambo yanaongeleka kirahisi sana ila niamini mimi ukiwa bize na miangaiko yako watu wa kuingia nao kwenye mahusiano hauwaoni kabisa. Unatoka home asubuhi unarudi jioni umechoka unapumzika tu, ukienda kazi upo bize na majukumu ya kikazi ni ngumu masuala ya mapenzi kukujia akili. Inafika hatua unashangaa hao wengine wanawatoa wapi wapenzi wao. Mimi nilipomaliza chuo kipindi nilikua jobless aisee nimetembeza sana bolo mtaani ila sasa tangu nimeanza kujitegemea nakua bize na miangaiko ya maisha yaani hata hao mademu wa kuwatongoza siwaoni mtaani hata wachache ninaowa-spot nakosa muda wa kuwafatilia hii ndio maana watu wanaamua kujaribu mitandaoni.
Huyo mtoto DATAZ anayekaa kwa shangazi hawezi kuelewa haya mambo
 
Kwa hiyo huko unakofanyia kazi, unapoabudia, unakotembelea, unakoishi n.k umekosa kabisa mwanaume na unadhani huku JF ndio utampata aliye sahihi?
Hata JF kuna watu pia..pia mtu sahihi anapitaka popote, hakuna formula, usimkatishe tamaa
 
Habari zenu,

Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.

Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.
Yaani miaja yote unasali kanisani huna mtu mkristo mwenzio wamjua iwe shuke,Sunday school,vyama vya Kikristo,jumuiya,kazini Nk

Wewe una shida kubwa

Tuanze kwanza kanisa Gani unasali
 
Habari zenu,

Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.

Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.

Mwenye uhitaji karibu PM.

Asante.
Yote kwa yote kila la kheri kwako. Pia usisahu kufanya ibada na kushukuru kwa kila hatua wapo wengi wenye sifa hizo ila kukutana nao vile kuna kaugumu fulani hivi. Ila naami utampata.
 
Mungu akupe MUME MWEMA

AMBAYE ATASEMA,

NIMEWAONA WANAWAKE WENGI LAKINI WEWE UMEWAZIDI WOTE,

AMBAYE ATASEMA,

KATIKATI YA WASOMI WENGI ILA WEWE UMEWAZIDI WOTE,

HATA ALIPOTEMBEA DUNIANI KOTE WEWE PEKEAKO UMEWAZIDI WOTE

AMBAYE ATASEMA,

WEWE NI MIFUPA KATIKA MIFUPA YAKE NA NYAMA KATIKA NYAMA ZAKE,
 
Umetoa mimba 💩 umemeza p2 💩 umedanga sana 💩 k imekuwa mtepweto 💩 huna ajira ya uhakika 💩 umeona umezeeka unatafuta mwanaume akioe akuweke ndani awe anakulisha bure 💩 miaka 35 akuoe nani, embu tuliza komwe pambana na maisha yako... Ujana ule na nani huku uzeeni usumbue watu... Wanawake huwa mkiwa 20+ mnadhan maisha mnayaweza sana...
 
Shida Yako wewe ni mbaguzi wa madaraja ya kiuchumi Kwa mwanaume , nimeshakujua vzr tu japo umekuja na I'd mpya anyways kila la kheri nikutakie japo mm tulifikia pazuri tu.
 
Kwa hiyo huko unakofanyia kazi, unapoabudia, unakotembelea, unakoishi n.k umekosa kabisa mwanaume na unadhani huku JF ndio utampata aliye sahihi?
Mke au mume anapatikana popote pale,hata humu wapo pia,hii ni platform kubwa
 
Back
Top Bottom