Joined Monday
Kitu kimoja mtu anawaona hao wanaokuja kwake kumtongoza hawana umakini na wengi wanataka kuchovya wanasepa.Kwa hiyo huko unakofanyia kazi, unapoabudia, unakotembelea, unakoishi n.k umekosa kabisa mwanaume na unadhani huku JF ndio utampata aliye sahihi?
Ok nafikiri n bahat yangu hiii…. Jamani mjiandae kwa ndoa mwezi wa 12 tareh 23Updates:
Bado sijampata ,mwenye uhitaji njoo PM
Njoo DMHabari zenu,
Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.
Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.
Mwenye uhitaji karibu PM.
Asante.
Futa hiyo thread then njoo DM tumalize kula kituHabari zenu,
Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.
Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.
Mwenye uhitaji karibu PM.
Asante.
Ushapata ama badoHabari zenu,

Utadepend na mihangaiko ya aina ipi. I work with people ambao wako busy, tena wanafanya critical jobs but ni wapenda nyuchi mbaya, mahusiano huwa yanakuja katika hali usiyoitarajia na mtu ambae hujawahi mtarajiaHaya mambo yanaongeleka kirahisi sana ila niamini mimi ukiwa bize na miangaiko yako watu wa kuingia nao kwenye mahusiano hauwaoni kabisa. Unatoka home asubuhi unarudi jioni umechoka unapumzika tu, ukienda kazi upo bize na majukumu ya kikazi ni ngumu masuala ya mapenzi kukujia akili. Inafika hatua unashangaa hao wengine wanawatoa wapi wapenzi wao. Mimi nilipomaliza chuo kipindi nilikua jobless aisee nimetembeza sana bolo mtaani ila sasa tangu nimeanza kujitegemea nakua bize na miangaiko ya maisha yaani hata hao mademu wa kuwatongoza siwaoni mtaani hata wachache ninaowa-spot nakosa muda wa kuwafatilia hii ndio maana watu wanaamua kujaribu mitandaoni.
Kupenda nyuchi sio tatizo mkuu, ilo mbona ni suala la kuingia tinder tu na kuagiza mzigo, ninachoongelea ni linapokuja suala la kutafuta mke/mume hapo kunakua na ugumu kwa sababu unahitajika muda wa kumfanyia vetting ya kijasusi uyo mwenzako. Sasa kama ninmtu wankutoka asubuhi kurudi jioni unakosa muda wa kujigawa.Utadepend na mihangaiko ya aina ipi. I work with people ambao wako busy, tena wanafanya critical jobs but ni wapenda nyuchi mbaya, mahusiano huwa yanakuja katika hali usiyoitarajia na mtu ambae hujawahi mtarajia
Kila la heriHabari zenu,
Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.
Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri kuanzia miaka 33 -46.
Mwenye uhitaji karibu PM.
Asante.
HiHabari zenu,

Njoo nipo mmeo hapaHabari zenu,

Vigezo simple.. NakuombeaHabari zenu,