Goli la Kapombe ni Offside basi tu ndio mambo yetu sisi wanasimba kuwashikisha chochote marefa na baadhi ya wachezaji na makochaYaani timu nzima inaweza kumkamia Fiston Mayele tu! Leo asingekuwa mwamuzi, tungekuwa tunaongea habari nyingine!
Maana lile goli la tatu la Chirwa, Manula aliamua tu kusimama ili asije kuvunjika nyonga.
Ndizo zetu tunaomba mtusamehe!Bahasha za khaki. 😀😀
Poleni Mkuu. 🤣🤣Ndizo zetu tunaomba mtusamehe
Hapana, ni bonge la Kocha tumemtoa Real Madrid sijui ya wapi na alikuwa anaifundisha timu akiwa na Zidane sijui ni Zidane yupi!Tumfukuzeni yule m spanish uchwara
Vijana endeleni kufurahia, lakini huko kwa wakubwa hamtaweza kamwe.Sisi waongoza ligi tunamalizia Eid namna hii walau tupate joto mana baridi kali.
View attachment 2210080
Umeonaee!! Mwaka huu hamna mchezaji wa kuhadaika na visenti.Utopolo mwaka huu wamejipanga kwelikweli yaani wale wachezaji waliokuwa ndilo duka waliachana nao.
Nyie mliepaweza kwa wakubwa mmerudi na makombe mangapi?Vijana endeleni kufurahia, lakini huko kwa wakubwa hamtaweza kamwe.
Nyie ni wa hapa hapa sawa? [emoji16][emoji16]
Yes, tunadumisha vya ndani.Unamkaba mayele unafungwa na masawe[emoji1]
Ndio aiseeKumbe tulikuwa uwanjani leo!
Mmerejea? Nilijua mmesusaDah, umechemka sana, kwahivyo zile ambazo Simba SC amefungwa kama ya Kagera Sugar na amelizotoka sare kama ya Polisi
Alitumia nguvu nyingi kutoka kwa nani?
Utopolo bila Mayele ni wepesi kama karatasi, na akina Henock wapo wengi michuano ya CAFNaona alikukera sana. Maana jeuri yenu yote ipo kwa Mayele na yeye alinyooka na jeuri yenu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Angalia rekodi zangu, sina desturi ya kukimbia wala kususa, hata Simba SC ingefungwa bao za kutosha lakini siwezi kuacha kutoa Live Updates.Mmerejea? Nilijua mmesusa
Yaani hapo uneongea utafikiri huyo Inonga ni beki mwenye upekee kiasi kwamba ndio wakufanyiwa mfano wakati Simba imefungwa humu ndani na Inonga akihusika. Mechi za kukamiana ndio unachukulia kama kipimo?Utopolo bila Mayele ni wepesi kama karatasi, na akina Henock wapo wengi michuano ya CAF
Na majibu yatapatikana Kimataifa
Unawashauri nini wasiokuwa na uvumilivu kama vile akina Scars maana hata mabandani huwa anasusa kama mwenendo haupo vizuri wa timuAngalia rekodi zangu, sina desturi ya kukimbia wala kususa, hata Simba SC ingefungwa bao za kutosha lakini siwezi kuacha kutoa Live Update.
Labda kupumzika tu au majukumu mengine, lakini si kukimbia
Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana
Ni kweli kabisa mlikuwepo uwanjani leo Mabingwa watetezi wa Ligi kuu! Shukrani zote ziende kwa mwamuzi wa mchezo wa leo.Kumbe tulikuwa uwanjani leo!
Sasa huku mnatafta nini nyie wa kuleVijana endeleni kufurahia, lakini huko kwa wakubwa hamtaweza kamwe.
Nyie ni wa hapa hapa sawa? [emoji16][emoji16]