Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Na ndiyo Bingwa wa kwanza kabisa chini udhamini mnono wa Azam, lakini pia ndiyo atakuwa Bingwa wa kwanza kabisa chini ya udhamini wa NBC.

Jambo la kipekee kabisa hili katika nchi yetu.
Huku kujisifia na kujitapa mngekuwa mnazielekeza kwenye kupambana kupata matokeo chanya Kimataifa mngekuwa mbali sana.
 
Huku kujisifia na kujitapa mngekuwa mnazielekeza kwenye kupambana kupata matokeo chanya Kimataifa mngekuwa mbali sana.
Simba mmebaki kujisifu kimataifa tu, wakati hamjawahi kuchukua ubingwa.. Timu za kujisifu kimataifa ni tp mazembe, al ahly, mamelodi zote hizo zina makombe..kwa tanzania hakuna timu ya kujisifu...hata ukifika fainali, ukikosa ubingwa we ni losers tu
 
Huku kujisifia na kujitapa mngekuwa mnazielekeza kwenye kupambana kupata matokeo chanya Kimataifa mngekuwa mbali sana.
Jamani msifanye masihara kuwekeza kwenye hizi timu sio kazi ya kitoto, salute kwa MO na GSM! Huu ubora wa Yanga ni uwekezaji uliofanywa na GSM baada ya kutafakari kwa kipindi cha miaka minne huku Simba wakitamba. Lakini ili tupambane vizuri kimataifa tunapaswa kuwekeza kwenye wachezaji wenye viwango vya juu kama akina Aziz Ki, Adebayo, Kwame Pepra na wengine wenye viwango kama hivyo. Kiuhalisia Simba na Yanga hakuna story za sijui tunajenga timu hapo kwenda sokoni na kununua wachezaji wenye viwango period!
 
Huku kujisifia na kujitapa mngekuwa mnazielekeza kwenye kupambana kupata matokeo chanya Kimataifa mngekuwa mbali sana.
Tumejifunza kwenye zile mechi za awali na ile timu kutoka Nigeria. Msimu huu tutaongeza mastaa wachache tu wa kuongeza nguvu. Hivyo kikosi hakitabadilka sana kama msimu uliopita.

Bado tuna imani na Profesa Nabi. Naamini hatorudia makosa ya mwanzoni mwa msimu. Hivyo tutafanya vizuri Kimataifa kama enzi zile timu ilipokuwa chini ya udhamini wa Yusufu Manji.
 
Kwani enzi za manji mlifikia wapi kimataifa?
 
Kwani enzi za manji mlifikia wapi kimataifa?
Tatizo la hizi timu kuna watu wa kati wengi (madalali) unakuta mdhamini anatoa pesa halafu zinapitia kwenye mikono ya watu wengine kabla lengo husika halijatekelezwa!
 
Simba mmebaki kujisifu kimataifa tu, wakati hamjawahi kuchukua ubingwa.. Timu za kujisifu kimataifa ni tp mazembe, al ahly, mamelodi zote hizo zina makombe..kwa tanzania hakuna timu ya kujisifu...hata ukifika fainali, ukikosa ubingwa we ni losers tu
Usije ukidhani kufanikiwa au mafaniko ni kubeba Taji tu

Kufanikiwa kwa Timu ni Progress ukilinganisha na misimu ya nyuma

Kuna any positive changes unaziona Kama ni yes basi ni mafaniko hayo.
 
Msimu ujao kimataifa timu zote mbili ziwe bora kimataifa atleast kila moja ifikie robo au fainali ya mashindano! Hapo ndio tutakua tumeipandisha hadhi sana ligi yetu, na kuingiza timu nne kila mwaka itakua ni jambo la kawaida!
 
Kimataifa my foot mna kombe gani huko
Hata kutoka hatua moja kwenda nyingine ni mafaniko hayo.

Ndo maana Simba SC kufika hatua ya robo fainali siyo story tena..!

Akili ipo nusu fainali mpaka fainali
 
Lile beki lenye mwanya kumbe ni mdebwedo tulisema sisi kakazia kwa mayele afu kwa chirwa akapanua mpaka mwisho mwamba akazamisha tu
 
Hata kutoka hatua moja kwenda nyingine ni mafaniko hayo.

Ndo maana Simba SC kufika hatua ya robo fainali siyo story tena..!

Akili ipo nusu fainali mpaka fainali
Pole huko hawawatakii mmetoka lakini bado mnashoboka.
 
Usije ukidhani kufanikiwa au mafaniko ni kubeba Taji tu

Kufanikiwa kwa Timu ni Progress ukilinganisha na misimu ya nyuma

Kuna any positive changes unaziona Kama ni yes basi ni mafaniko hayo.
Well said! Ukiangalia bajeti ya hizi timu zilizochukua huo ubingwa ndio utagundua kwamba mchawi ni uwekezaji wa nguvu tu hayo mengine ni hadithi tu. Mfano unaweza kukuta bajeti ya mchezaji mmoja wa Al ahly inaweza kuwa bajeti ya timu zote za ligi yetu ya NBC kwa mwaka!
 
Inauma Yanga kuchukua ila hatuna jinsi timu yetu ilikuwa mbovu kuwahi tokea
Ni kweli huwezi kuwa na timu imara misimu mitano mfululizo hebu nikumbushe mara ya mwisho Yanga kuchukua Ubingwa mara nne mfululizo ni lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…