Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Bisibisi fc Leo wanapoteza sana nafasi za wazi
 
42' Kapombe Goooooooooooooaaal gooal

Shomari Kapombe anasawazisha kwa shuti la pembeni, na kumuacha golikipa Kissu akiruka bila mafaniko.

Namungo FC 1-1 Simba SC
 
Reactions: BRN
Shomaliiiiiiiiiii gooooooool....
Kolo anasawazisha
 
Kucheka cheka na vitoto haturuhusu

Vikitoka hapo vianze kuwatambia vitoto vyenzao "afunga akaka, afunga akaka"
 
Benchi la ufundi la Namungo lina upuuzi mwingi sana! Wangemtoa Molinga na kumuingiza kiungo mshambuliaji, wangeondoka na ushindi kwenye hii mechi.

Kumchezesha washambuliaji wawili; Lusajo na Molinga asiye na control yoyote ile ya mpira, wala kunyumbulika, ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.

Wakifungwa kwenye hii mechi watakuwa wamejitakia wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…