Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Gombea ukocha
 
Mi naona Namungo kazidiwa huwezi kusema kua wakishindwa kufunga wajilaumu mi naona Makolo wakiwa makini wanashinda goli nyingi tu
 
Aliyemsajili Kibu sijui alifikiri nn, jamaa hata kutuliza mpira hawezi
 
45+2' Kuendelea kuwa mapumziko

Naaam mpira ni mapumziko ambapo Timu zote mbili zinakwenda zikiwa zimefungana bao moja kwa moja

HT: Namungo FC 1-1 Simba SC
 
Kwani mechi ya utopolo molinga hakuanza mechi?
 
Namungo baki Basi katikat na piga Paz had kipind Cha dkk 75 HV alfu weka bas nyuma kabsa kutoka kumi nananae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…