Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Hakuna uhalali maana clear goal la Chirwa refa amekataa,sijui ameona aibu kumuabisha yule beki wenu anayecheza na jukwaa
Mkuu huyo beki mbona anakukera sana? Aliwafanya nini? Basi refa aliyewapa ninyi penati kwenye uwanja huo huo na timu hiyo hiyo alikuwa sahihi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Simba yahitaji Total Overhaul kuanzia management, benchi la ufundi, wachezaji

Wachezaji wapo wengi ambao hawatufai, hivyo tuwateme wote na kuanza upya tukijipa miaka 2-4 ya kupanda kimataifa.

Wachezaji kama Kagere,Wawa, Mzamiru, Nyoni, Lwanga, Mkude, Sadio, Kibu, Mugalu, Bocco, Chama, Banda, Morison hawatufai kwa sasa

Hawa ndo wanatukamua sana kibajeti.
Hawa waondolewe kwa mikataba yao kuvunjwa na tukuze vipaji au tununue wachezaji wazuri kutoka hapo Kongo

Matola na makocha wenzake, Mkurugenzi Rwemamu, hawa waondolewe

Wanaohusika na Scouting waondolewe
Mmeshaanza visa
 
leo hii simba inataka WACONGO
zamani mlikuwa mnatutania timu yetu imejaa wacheza NDOMBOLO
 
Simba yahitaji Total Overhaul kuanzia management, benchi la ufundi, wachezaji

Wachezaji wapo wengi ambao hawatufai, hivyo tuwateme wote na kuanza upya tukijipa miaka 2-4 ya kupanda kimataifa.

Wachezaji kama Kagere,Wawa, Mzamiru, Nyoni, Lwanga, Mkude, Sadio, Kibu, Mugalu, Bocco, Chama, Banda, Morison hawatufai kwa sasa

Hawa ndo wanatukamua sana kibajeti.
Hawa waondolewe kwa mikataba yao kuvunjwa na tukuze vipaji au tununue wachezaji wazuri kutoka hapo Kongo

Matola na makocha wenzake, Mkurugenzi Rwemamu, hawa waondolewe

Wanaohusika na Scouting waondolewe
Hii yote kusaidia ni ngumu ni kuongea na TFF viporo virudi maana ndo pona pona
 
Back
Top Bottom