Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

Ukiwa na ID nyingine unajitahidi kweli kuwa mstaarabu! Ila sasa ukiwa kwenye ile ID yako ya game changer, charismatic fella, nk siyo kuporomosha matusi huko!! "Kama mama ako" "[emoji2]
lengo asijulikane ila kuna mahali anajichanganya,MINOCYLINE ameiweka pembeni kwanza
 
Kwani jezi inaamuliwa na uenyeji tu au kulingana na ulivyochagua jezi ya nyumbani na ugenini?
Kila timu inapeleka machaguo matatu ya jezi itakazotumia, jezi ya nyimbani, ugenino na jezi itakazotumia pale mpinzani wake atakapokuwa na jezi zinazofanana
 
Sema soka la bongo raha sana, naomba viongozi wetu waendelee kushikilia hapo hapo ili muendelee kuamini katika hizo jezi nyeusi kua zinatupa maatokeo.

[emoji3][emoji3]
 
Tuiulize Ihefu walikua wanawaonaje wakt wakiwa na unjano unjano
 
Usisahau unga wa kuvuta na wa kuumwagia uwanjani kule Geita.
 
Back
Top Bottom