Namungo FC yazuiwa Uwanja wa Ndege Angola

Nafikiri balozi wetu huko yuko weak! How watu waliobeba bendera ya nchi wachezewe uhuni kama huu na mpaka sasa wahusika hawajalipa gharama?

Fukuza balozi wao wa hapa hadi waombe radhi! Zipo nchi za kututenda haya si Angola ambao tuna historia nao ndefu. Mbaya zaidi yanafanywa na jeshi ambao wanajua vizuri uhusiano na Tanzania. Hizi si rafu za uwanjani, hapa ni nchi inafanyia uhuni nchi nyingine.
 
Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kuwa wamenyanganywa hadi passport! Hii inavuka kiwango cha mambo ya michezo.
 
Ila sisi watanzania tukifanya hivyo utasikia waandishi uchwara wanavyotetea wageni sijui wandishi wa michezo wamelaniwa na nani
 
We nae jiongeze hizo ni figisu, hawa jamaa ata kaizer chief waliwafanyia figisu hizo.

Why hao wanne waliokutwa nao watengwe then wengine waruhusiwe wachezi mechi.

Ila na wao si watakuja humu tusubiri
Hawajasema wengine wacheze mechi amesema wakae quarantine siku 3 wapi wamesema wacheze mechi. Mbona Simba wamepimwa wote negative wakafanyiwe figisu Namungo? Juzi Bayern Muller ka test positive team nzima negative cha ajabu nini. kuna jamaa mtanzania kaenda USA kapost tweeter kapewa negative certificate kaanza kuumwa kwenye ndege kafika positive hoi. Ndio maana nimekwambia ukipima bongo nchi unayokwenda unapimwa tena sababu hawaamini vipimo vyetu. Hawa watu wa immigration unaenda na sheria za nchi hata team ya zimbabwe walivyokuja Tz baadhi yao walikuwa positive hakuna figisu vipimo hapimi Haji Manara ni Lab tech.
 
Kuzuiliwa kwa Namungo fc uwanja wa ndege je Kuna figisu? Naomba mtuambie ni wachezaji gani wamezuiliwa wazee wa ku conect dot tuanze
pili Nitoe ushauri wangu kwa viongozi wa namungo hapo hapo mlipozuiliwa laleni hivyohivyo na baada ya muda anzeni kufanya mazoezi ya viungo hapo hapo kuufanya mwili kuwa sawa.
kingine Kiongozi wa ubalozi wetu ahakikishe chakula maji vinawafikia wachezaji pasipo na kuhujumiwa

Je na sisi tuandae malipizi? Hapana tuwatendee wema msilopenda kufanyiwa basi wafanyieni wengine hivyohivyo
 
Acha ubishi hii ni team ya jeshi na corona wamepimwa na jeshi na majibu yametoka baada ya dakika 2.

Hawajamaa waliwapa kaizer karibu wachezaji kumi na mmoja covid 19 kaizer walipoenda sehemu nyingine ikaonekana hawana

Alafu kwa kessy yako kama iyo ya south Africa, kumbuka wanweza pata covid hata ukiwa safarini kwenye ndege
 
Kumbe umejijibu mwenyewe hata hao Namungo wanaweza kuwa wamepata corona safarini. Hakuna limit mwisho kupata corona watu watatu juzi to Aston villa karibia first eleven yote corona cha ajabu nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…