These guys are masters of burying heads in sand. 🤣 🤣 🤣Wameipa jina mpya "changamoto la kupumua".
Kule jukwaa lao la siasa, haipiti siku bila uzi wa tanzia aidha ya mkuu au msomi fulani na wote changamoto la kupumua, ila sasa hao kidogo wana nafuu ya kutajwa, lakini walalahoi wa kawaida wanazikwa tu kimya kimya, hawana wa kuwasemea, halafu waziri wa afya mwenye dhamana aliibua kioja juzi cha kuita wana habari akanywa kikombe cha maji ya tangawizi na limau, akawaambia Watanzania ndio dawa ya changamoto hili la kupumua.
Dont forget we are Maji Maji war stupid heroes.Wenzetu hiki kitu bado mnazungushana na kuchekea chekea, nasoma taarifa za tanzia kila siku kwenu huko, mpaka viongozi wanapukutika kila uchao na bado mumeshupaza shingo na kuendelea na zile show zenu za tangu mwanzo.
Sasa mechi imesitishwa baina ya timu ya Tanzania na wenyeji wao Angola, na mara moja wachezaji wa Tanzania wote wakaagizwa wabaki kwenye hoteli, hii ni baada ya watatu kugunduliwa na corona.
Hii ingetendeka Kenya mngelialia sana kwamba tunawahujumu, sasa hao Angola ni wale huwa mnasema ni ndugu zenu wa damu.
Mnaponza majirani zenu wote, unakuta tunapambana huku na kurudishwa hatua kadhaa nyuma maana tumechangia mpaka mrefu ambao ni vigumu sana kuulinda wote, hivyo mnaingia ingia tu.
===================
The Tanzanian outfit has now been detained in Luanda after three of their players and one official tested positive for Covid-19
Namungo FC have failed in their bid to return home after Angolan authorities asked the team to return to their hotel from the airport on Sunday.
The Tanzanian domestic Cup winners had travelled to Angola to play their first leg of the Caf Confederation Cup against Primeiro de Agosto but the game which was set for Sunday was cancelled by Caf after the Angolan authorities ordered all Namungo players to self-quarantine owing to the Covid-19 pandemic.
With the game being cancelled, Namungo’s efforts to return home have now stalled as the team spent the whole of Sunday at the airport in Angola and they were finally asked to return to the hotel with reports emerging that three of their players and one official had tested positive for Covid-19.
“Namungo players have been ordered to return to the hotel from the airport, where they were planning to board the plane back home after their match was called off,” a source in Tanzania Football Federation, who did not want to be named, told Goal on Monday.
“The players wasted a whole day at the international airport in Luanda as they waited for a plane to return home but now they are not able to use the private jet because three of their players and one official have reportedly returned positive Covid-19 tests, and now Angola authorities have asked them to serve the mandatory quarantine before coming back home.”
On Sunday, Namungo coach Hemed Morocco explained how they had learned from their cancelled game in Angola. We want to thank God that everyone is okay and safe but what happened is a lesson for us to learn,” Morocco said as quoted by Sokalabongo.
“It’s a challenge for us and it’s a lesson too so we have nothing to say at the moment, we are back in Tanzania to prepare for our upcoming matches.”
On cancelling the fixture on Saturday, Tanzania Football Federation explained: “Caf has cancelled the first leg match pitting Primeiro de Agosto against Namungo,” read a statement by TFF signed by media officer Cliford Mario Ndimbo and obtained by Goal.
Caf Confederation Cup: Namungo FC detained in Angola after cancelled game | Goal.com
Namungo FC have been detained in Angola after reports emerged that three of their players and one official had tested positive for Covid-19.www.goal.com
Dont forget we are Maji Maji war stupid heroes.
That stupid thing was done by our ancestors and we now doing the same.
Embu nitafsrie kwanza nikueleweBefore uttering anything, mention any country that is corona fatality free. Do you have any idea of how is UK seriously stricken by corona?
The blindness in me is no match to the blindness in you who believe that there's no corona in Tanzania despite all the glaring indications. Wake up brother and smell the coffeeIt is true unafanya mzaha na nguvu ya maombi. Then you don't know who is blind here. Pole. I know some days you will see how blind you are.
The blindness in me is no match to the blindness in you who believe that there's no corona in Tanzania despite all the glaring indications. Wake up brother and smell the coffee
What's your point so far?Mbona hata sisi tulizuia wachezaji karibia 5 wa Platinum wasicheze kwa sababu za covid? Waliopatokana na covid wakae pembeni mbungi ipigwe kama kawaida.
You can learn on how to use your head.What's your point so far?
SonofabitchYou can learn on how to use your head.
Hawasikii la Mwadhini wala la mteka maji msikitini. Naibu Rais kule Zanzibar tiyari alikiri ako na corona ila vilaza wengine bado wanaamini vinginevyo.Hawa sijui waambiwaje ili waanze kutumia akili, mwenzao huyu anaitwa Makonda kipindi akiwa mkuu wa Mkoa aliwahi kuwa na tamasha la kusheherekea ushindi dhidi ya corona, leo hii yeye ndiye wa kwanza kuwaambie vingine...
Its only a faggot that, out of farting ass, can think even for little while that I nothing about the Mine Boy.Sonofabitch
Usipoamini unaiita juu yako, tunaoamini inatukimbia! uchaguzi ni wako!Hamna cha maombi Corona ipo. Na inakula vichwa ipendavyo
Toka mwaka Jana Marekani na Uingereza waliwaonya raia wake wasije Tanzania, na hilo onyo halijawahi kusitishwa! Pamoja na onyo hilo wataliI wengi wengi waliendelea kuja wakiwemo waliotoa nchi hizi! Kwa nini? Kwa sababu wanajua kuwa ni taarifa za uongo!!
Sema hujakumbana nayoUsipoamini unaiita juu yako, tunaoamini inatukimbia! uchaguzi ni wako!
Siyo suala la kukumbana nayo au kutokukumbana nayo! Ni suala la kumwamini Mungu! As simple as that! Mimi huwa nashangaa kwa nini watu huona ni ngumu Sana kumwamini Mungu aliyeumba mbingu na nchi na ndiye atupaye uhai, lakini watu hao hao ni rahisi Sana kuwaamini watu wenzao ambao hawajawahi kuumba hata sehemu tu ya sisimizi!! Uchaguzi ni wako lakini utawajibika vilivyo na matokeo ya uchaguzi wako!!Sema hujakumbana nayo