joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Tukisema tuweke trend ya matokeo ya Kolo FC na Yanga, vip utakubali na wewe unafadhiliwa na GSM?Duh kwa hiyo unataka ushahidi wa hayo matokeo. Haya ndiyo unaita matawi ya Simba?
View attachment 3240892
View attachment 3240893
View attachment 3240894
Narudia kwa mara nyingine bila kuchoka. Nipe mifano ya Yanga kutoka sare au kufungwa na matawi ya GSM.
Sawa mashabiki hawawezi kumpangia kocha, ila ndiyo beki isiweke ukuta kwenye faulo karibu na goli? Ndiyo mwekezaji amwamuru kocha nani acheze, nani asicheze na nani aanze?Ubora unaamua usitake kulazimisha unachokitaka wewe akilini mwako,,ndio maana mnalazimisha kumpangia kocha wa singida kikosi chake nyie mmekuwa nani? Yani mambo ya kiufundi ya kocha mumpangie nyie eti kwakuwa tu amtaki yanga ishinde,,ovyo kabisa🚮🚮🚮
Leta ushahidi wa uyo bosi akimwamuru nani acheze nani asicheze,, kama akuna basi ata kijiri alijifunga Ina maana Mo alimwamuru ajifunge?Sawa mashabiki hawawezi kumpangia kocha, ila ndiyo beki isiweke ukuta kwenye faulo karibu na goli? Ndiyo mwekezaji amwamuru kocha nani acheze, nani asicheze na nani aanze?
Kweli chura hana mshipa wa aibu. Si umetaka ushahidi wa ninachosema, huo hapo. Bado unaona viashiria vya kubebana hapo?Tukisema tuweke trend ya matokeo ya Kolo FC na Yanga, vip utakubali na wewe unafadhiliwa na GSM?
hatupeleki maoni tff,game za kimataifa ndio zitahamua nani bora mkuu,nyie hayo maigizo yenu kama yana manufaa endeleeni nayo,jiiesiemu anataka matokeo ya kisanii ili kuendelea kuinyonya utopoloNi hivi pale tff Kuna sanduku la maoni pelekeni kule sisi atuna msaada na nyie,,mtaendelea kubweka hapa kama amnazo na tunasema mlianza tutamaliza
Kocha wa Singida aliwahi kusema hayo maneno.Leta ushahidi wa uyo bosi akimwamuru nani acheze nani asicheze,, kama akuna basi ata kijiri alijifunga Ina maana Mo alimwamuru ajifunge?
Sasa kimataifa unakosemea ni sawa na kujivua nguo tu,,mwenzako alikuwa klabu bingwa wewe ukapewa nafasi ya nyongeza kucheza mashindano ya wakinamama kwa kushika nafasi ya 3 sasa ubora upi huo unaousemea?hatupeleki maoni tff,game za kimataifa ndio zitahamua nani bora mkuu,nyie hayo maigizo yenu kama yana manufaa endeleeni nayo,jiiesiemu anataka matokeo ya kisanii ili kuendelea kuinyonya utopolo
Weka video akiyasema,,tunajua wambea mara nyingi uwa ni wanawake na wewe usitake tukuweke kwenye ilo kundiKocha wa Singida aliwahi kusema hayo maneno.
Gsssm anaharibu soka la bongo,ila game za kimataifa zitahamua nani boraDuh kwa hiyo unataka ushahidi wa hayo matokeo. Haya ndiyo unaita matawi ya Simba?
View attachment 3240892
View attachment 3240893
View attachment 3240894
Narudia kwa mara nyingine bila kuchoka. Nipe mifano ya Yanga kutoka sare au kufungwa na matawi ya GSM.
Hizi timu za Kariakoo ni Bora ziwe na ligi yao ziwe zinacheza zenyewWale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati!
Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na waziri mkuu ambae ni mwanachama hai wa kolo, kesho wanacheza na Simba lakini akuna ahadi yoyote iliyotolewa ili wapate ushindi but ikicheza na yanga ahadi uwa ni za kumwaga!
Tunakwenda kushuhudia kile tulichokishuhudia kule tabora,,aitokuwa mechi bali uchafu!
Kwa maana iyo Kila timu ishinde mechi zake na wale wabwekaji wafunge mabakuri yao akuna kucheka na kima sasa hivi ukitumia panga tunatumia shoka,,bampa to bampa mpaka kitaeleweka!
Yaani natumia akili unayo tumia wewe unasema sina aibu,kwani kwa mnawalamikia Singida kwa kosa gani? Au unasahau na wewe unafanywaga nini Yanga.Kweli chura hana mshipa wa aibu. Si umetaka ushahidi wa ninachosema, huo hapo. Bado unaona viashiria vya kubebana hapo?
Yaani haujui kwamba unavyozidi kuitetea Singida ndiyo unazidi kuprove point ya wengi. Inashangaza kwamba haulitambui hilo.Weka video akiyasema,,tunajua wambea mara nyingi uwa ni wanawake na wewe usitake tukuweke kwenye ilo kundi
Hizi Timu zinajuana, Kila Moja inafanya huo ushenzi but Mmoja akimuwai mwenzake ndio unaona milio kama hivyo,,ujiulize yanga anapofungwa mbona wanakenua meno yote 32 nje? Hapo uwezi kusikia kolo yeyote anasema gsm anaharibu ligi but yanga akishinda tu mechi mfululizo wanaazima na sound bar kabisa kubweka bweka kama mbwa kichaa!Hizi timu za Kariakoo ni Bora ziwe na ligi yao ziwe zinacheza zenyew
Eti unatumia akili ninayotumia mimi, kijana una majivuno wewe. Yaani hapo unajiona smart kichizi kumbe unatapika uharo tu masikini.Yaani natumia akili unayo tumia wewe unasema sina aibu,kwani kwa mnawalamikia Singida kwa kosa gani? Au unasahau na wewe unafanywaga nini Yanga.
Yaani natumia akili unayo tumia ww unasema na Kosea.
Si akili yenu ya hisia,yani hapo unachofanya ni sawa na kujiambia wewe mwenyewe unatabika uharo.Eti unatumia akili ninayotumia mimi, kijana una majivuno wewe. Yaani hapo unajiona smart kichizi kumbe unatapika uharo tu masikini.
Makocha wanapofukuzwa kwa kutotimiza wajibu ndio uwa wanatafuta wa kufa nae,,ata Patrick ausems alivyokuzwa Simba alisema viongozi wenu ni tatizo wanampangia kikosi kwaiyo na yeye alikuwa right?Yaani haujui kwamba unavyozidi kuitetea Singida ndiyo unazidi kuprove point ya wengi. Inashangaza kwamba haulitambui hilo.
Haya interview ya kocha wa Singida hii hapa.
Details around Ernst Middendorp’s dramatic resignation in Tanzania
Duh! Si mchezo....Si akili yenu ya hisia,yani hapo unachofanya ni sawa na kujiambia wewe mwenyewe unatabika uharo.
Kwenye ligi ziko yanga nane kati ya hizo 7 zipo kwaajili ya kumtafutia huyo mmoja point, kwahy yanga mpaka ligi inaanza tayar yy alikuwa na uhakika na point 42Utasikia anasemwa Yanga na mambo kibao lakini kiuhalisia mambo haya yapo kwa makolo wapiga kelele
Azam na Koloz haya matawi nayo huwa yanaleta upinzani kwa Yanga tusibebe ubingwa.Haya tuambieni, ni lini moja ya tawi la GSM liliwahi kuifunga chura au hata kulazimisha tu sare?