Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

Presha Gani kwani ni Siri iyo? Namungo ni familia na Simba kwaiyo subilia uone kinachokwenda kutokea,,wanabweka kama mbwa wakati ya kwao wanaufyata!
Ila umesahau kwamba Namungo ni familia ya GSM , Mugunda hana sauti pale . Lazima akaze ili kulinda kibarua chake.
 
Hawa yaoni haya Tabora mfadhili na anaye ilea ni Rage, Bakheresa alikuwa muweka hazina wao,Namungo Katelephone mwanachama,Coastal waazimana mpaka makocha. Tatizo kelele nyingi ila hawaoni kundule.
Bahati nzuri hizo timu zote ulizozitaja ni familia ya GSM na kaka mkuu kwenye hiyo familia ni Yanga .
 
Hili nalo linahitaji ubishi mpaka eFM walilizungumza
Walopolizungumzia uliwaomba akuthibitishie Bakheresa ana kadi namba ngapi huko Msimbazi?

Uthibitisho wa kadi namba ndio utaleta maana ya usemi wa de utopwinyo kwamba Bakheresa ni mwanachama wa Simba..

Kinyume na hapo utopwinyo, wewe pamoja na hao eFM mtakuwa na vinasaba vya kike vyenye kujaa wivu na gubu kwa Simba.

Hebu tutajie namba ya kadi tukuamini na kuamini kwamba upo sawa kichwani.
 
Shikilia hapo hapo hachomoki huyo🤣🤣
 
Bahati nzuri hizo timu zote ulizozitaja ni familia ya GSM na kaka mkuu kwenye hiyo familia ni Yanga .
Wewe unamjua anaye ilea na kuitunza Tabora,hawa Coastal Union mnao azimana mpaka makocha eti,Namungo Katelephone mfadhili wao, Bakheresa huyo ndio anakadi kabisa.

Tuendelee kutumia hisia.
 
Wanithibitishie kwa hiyo eFM waongo? Kolo FC Rage hakukosea, tokea lini kadi number ya tu ukaweka hadharani? Kwa hiyo eFM ni Database inajua namba zote za mashabiki wa Yanga.

Yaani huo ni utahila wa kubishana na chomo cha habari ambao mimi sina.
 
Umesoma ulichoandika?Mmevurugwa haswa.
 
Mnashiriki mashindano gani huko nje na mko stage gani?
 
Ndio nasema Kila timu ishinde mechi zake mambo ya kubweka bweka kama mbwa atutaki
Hizi kelele zinatoka kwa watu manao waamini namaanisha wachambuzi 😂 wanapenda kukuza mambo kama hawayajui vile.
 
Kesho mbumbumbu watatoka na vijora vyao vyekundu kushangilia ushindi wa mezani😅
Ila Leo wamejiliza mitandaoni
Yaani Namungo inayonolewa na kocha wa akiba wa Simba ndiyo hiyo hiyo iwe na ujasiri wa kuifunga Simba!! Ndugu zangu msipoteze muda wenu kuiangalia hiyo mechi. Maana mshindi tayari anajulikana.
 
Umesoma ulichoandika?Mmevurugwa haswa.
Mwanangu una acc mbili JF,mana ile comment haikuhusu au ndio unamtetea Kolo mwenzio? Kuvurugwa mmevurugwa nyie kufungwa kafunga Singida nyie mnaumia nini?
 
Wanaume wanaendelea na mashindano nyie mmerudi nyumbani kubadili pampers za watoto.
 
Makocha wanapofukuzwa kwa kutotimiza wajibu ndio uwa wanatafuta wa kufa nae,,ata Patrick ausems alivyokuzwa Simba alisema viongozi wenu ni tatizo wanampangia kikosi kwaiyo na yeye alikuwa right?
Na Wewe Ili Tusikuone Mage Chupi Kubwa Lete Ushahidi Kama Alivyofanya Mwenzako.

Bila Hivyo Komenti Yako Iwe Ya Mwisho Na Ukiendelea Kukomenti Bila Ushahidi Wewe Ni............
 
Presha Gani kwani ni Siri iyo? Namungo ni familia na Simba kwaiyo subilia uone kinachokwenda kutokea,,wanabweka kama mbwa wakati ya kwao wanaufyata!
Kama ni familia mbona msimu uliopita hatujawafunga tulitoka nao sare?
 
Wewe unamjua anaye ilea na kuitunza Tabora,hawa Coastal Union mnao azimana mpaka makocha eti,Namungo Katelephone mfadhili wao, Bakheresa huyo ndio anakadi kabisa.

Tuendelee kutumia hisia.
Coastal huyu huyu aliyetunyima alama 3? Kostali lingekuwa tawi tungewafunga hata 5 au maabadi angeanzia benchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…