SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Dua la kukuBasi endelea kusubilia ndege chini ya muembe,,utakuja kujua mnapoferi mwisho wa msimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua la kukuBasi endelea kusubilia ndege chini ya muembe,,utakuja kujua mnapoferi mwisho wa msimu
Unafikiri hawajui basi? Wanaamua tu kujitoa ufahamu ili kubalance upuuzi wanaoufanya.Wambie hata mwaka jana alleluia simba isicheze klabu bingwa ni namungo mshasahau golini ayoub lakred
Ila umesahau kwamba Namungo ni familia ya GSM , Mugunda hana sauti pale . Lazima akaze ili kulinda kibarua chake.Presha Gani kwani ni Siri iyo? Namungo ni familia na Simba kwaiyo subilia uone kinachokwenda kutokea,,wanabweka kama mbwa wakati ya kwao wanaufyata!
Bahati nzuri hizo timu zote ulizozitaja ni familia ya GSM na kaka mkuu kwenye hiyo familia ni Yanga .Hawa yaoni haya Tabora mfadhili na anaye ilea ni Rage, Bakheresa alikuwa muweka hazina wao,Namungo Katelephone mwanachama,Coastal waazimana mpaka makocha. Tatizo kelele nyingi ila hawaoni kundule.
Walopolizungumzia uliwaomba akuthibitishie Bakheresa ana kadi namba ngapi huko Msimbazi?Hili nalo linahitaji ubishi mpaka eFM walilizungumza
Shikilia hapo hapo hachomoki huyo🤣🤣Kwani Coastal hajatoka sare na Simba msimu huu? Hizo ni hisia au facts? Eti wafungaji wa Coastal walijipigia kimasikhara halafu unasema tunatumia hisia.
Namungo hakulazimisha sare mwishoni mwa msimu wa juzi na kusitisha mbio za ubingwa za Simba? Hizo ni hisia au facts?
Azam haijatoka sare mara kibao tu na kuifunga simba misimu ya hivi karibuni na hata kuitoa kwenye FA Cup? Hizo ni hisia au facts?
Narudia kwa mara nyingine, tupe mfano wa hata mmoja wa tawi la GSM kuifunga au kutoka sare na Yanga.
Wewe unamjua anaye ilea na kuitunza Tabora,hawa Coastal Union mnao azimana mpaka makocha eti,Namungo Katelephone mfadhili wao, Bakheresa huyo ndio anakadi kabisa.Bahati nzuri hizo timu zote ulizozitaja ni familia ya GSM na kaka mkuu kwenye hiyo familia ni Yanga .
Wanithibitishie kwa hiyo eFM waongo? Kolo FC Rage hakukosea, tokea lini kadi number ya tu ukaweka hadharani? Kwa hiyo eFM ni Database inajua namba zote za mashabiki wa Yanga.Walopolizungumzia uliwaomba akuthibitishie Bakheresa ana kadi namba ngapi huko Msimbazi?
Uthibitisho wa kadi namba ndio utaleta maana ya usemi wa de utopwinyo kwamba Bakheresa ni mwanachama wa Simba..
Kinyume na hapo utopwinyo, wewe pamoja na hao eFM mtakuwa na vinasaba vya kike vyenye kujaa wivu na gubu kwa Simba.
Hebu tutajie namba ya kadi tukuamini na kuamini kwamba upo sawa kichwani.
Umesoma ulichoandika?Mmevurugwa haswa.Wanithibitishie kwa hiyo eFM waongo? Kolo FC Rage hakukosea, tokea lini kadi number ya tu ukaweka hadharani? Kwa hiyo eFM ni Database inajua namba zote za mashabiki wa Yanga.
Yaani huo ni utahila wa kubishana na chomo cha habari ambao mimi sina.
Wenzangu kina nani? Kina mangungu na Jaribu Tena ama? Maana hao ndio wanajua Awana chao wamejaribu kuchokoza nyuki na vikamati vyao vya ubaya ubwela wamepigwa kombora Moja tu la atomic sasa hivi wanatafutana uko,,wanaangaika na njia mbadala but too late!
Hizi kelele zinatoka kwa watu manao waamini namaanisha wachambuzi 😂 wanapenda kukuza mambo kama hawayajui vile.Ndio nasema Kila timu ishinde mechi zake mambo ya kubweka bweka kama mbwa atutaki
Yaani Namungo inayonolewa na kocha wa akiba wa Simba ndiyo hiyo hiyo iwe na ujasiri wa kuifunga Simba!! Ndugu zangu msipoteze muda wenu kuiangalia hiyo mechi. Maana mshindi tayari anajulikana.Kesho mbumbumbu watatoka na vijora vyao vyekundu kushangilia ushindi wa mezani😅
Ila Leo wamejiliza mitandaoni
Mwanangu una acc mbili JF,mana ile comment haikuhusu au ndio unamtetea Kolo mwenzio? Kuvurugwa mmevurugwa nyie kufungwa kafunga Singida nyie mnaumia nini?Umesoma ulichoandika?Mmevurugwa haswa.
Ushajiuliza kwa nini haupo kwenye huo mkeka wa wanaume kumi na sita? Hebu tupe sababu kwa nini wewe haupo.View attachment 3241094
Mnashiriki mashindano gani huko nje na mko stage gani?
Chukua kombe huko kimataifa kwann unalilia ndizi mbichi?Wanaume wanaendelea na mashindano nyie mmerudi nyumbani kubadili pampers za watoto.
Na Wewe Ili Tusikuone Mage Chupi Kubwa Lete Ushahidi Kama Alivyofanya Mwenzako.Makocha wanapofukuzwa kwa kutotimiza wajibu ndio uwa wanatafuta wa kufa nae,,ata Patrick ausems alivyokuzwa Simba alisema viongozi wenu ni tatizo wanampangia kikosi kwaiyo na yeye alikuwa right?
Kama ni familia mbona msimu uliopita hatujawafunga tulitoka nao sare?Presha Gani kwani ni Siri iyo? Namungo ni familia na Simba kwaiyo subilia uone kinachokwenda kutokea,,wanabweka kama mbwa wakati ya kwao wanaufyata!
Coastal huyu huyu aliyetunyima alama 3? Kostali lingekuwa tawi tungewafunga hata 5 au maabadi angeanzia benchi.Wewe unamjua anaye ilea na kuitunza Tabora,hawa Coastal Union mnao azimana mpaka makocha eti,Namungo Katelephone mfadhili wao, Bakheresa huyo ndio anakadi kabisa.
Tuendelee kutumia hisia.