Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati!

Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na waziri mkuu ambae ni mwanachama hai wa kolo, kesho wanacheza na Simba lakini akuna ahadi yoyote iliyotolewa ili wapate ushindi but ikicheza na yanga ahadi uwa ni za kumwaga!

Tunakwenda kushuhudia kile tulichokishuhudia kule tabora,,aitokuwa mechi bali uchafu!
Kwa maana iyo Kila timu ishinde mechi zake na wale wabwekaji wafunge mabakuri yao akuna kucheka na kima sasa hivi ukitumia panga tunatumia shoka,,bampa to bampa mpaka kitaeleweka!
 
Huu nao ni uchonganishi na kutengeneza pressure zisizokuwq na maana yoyote.
 
Presha Gani kwani ni Siri iyo? Namungo ni familia na Simba kwaiyo subilia uone kinachokwenda kutokea,,wanabweka kama mbwa wakati ya kwao wanaufyata!
 
Utasikia anasemwa Yanga na mambo kibao lakini kiuhalisia mambo haya yapo kwa makolo wapiga kelele
Na makolo ndio waanzilishi wa hizi mambo ukikemea Wanakwambia huo ndio ubaya ubwela,,Mpaka Msemaji wao aliwai kusema tupeleke malalamiko pale tff Kuna sanduku la maoni,,Sasa ubaya ubwela unawageukia wao tutaona!
 
Kesho mbumbumbu watatoka na vijora vyao vyekundu kushangilia ushindi wa mezani😅
Ila Leo wamejiliza mitandaoni
Hawa sio wa kuchekea ni kudili nao mwanzo mwisho,,wanaposhinda wao wananyanyua meno juu kama ya ngiri but yanga akishinda kelele za gsm anaharibu ligi zinarudi sasa tunawajua zaidi ya wanavyojijua na wanachokifanya watatoa milio sana na kuna milio mikubwa zaidi Iko njiani we tulia!
 
Na makolo ndio waanzilishi wa hizi mambo ukikemea Wanakwambia huo ndio ubaya ubwela,,Mpaka Msemaji wao aliwai kusema tupeleke malalamiko pale tff Kuna sanduku la maoni,,Sasa ubaya ubwela unawageukia wao tutaona!
Mkuu ni matatizo ya akili tu. Kama kuna ushahidi haya mambo yanafanyika iwekwe wazi tujue kuliko kuendelea kuchafuana
 
Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati!

Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na waziri mkuu ambae ni mwanachama hai wa kolo, kesho wanacheza na Simba lakini akuna ahadi yoyote iliyotolewa ili wapate ushindi but ikicheza na yanga ahadi uwa ni za kumwaga!

Tunakwenda kushuhudia kile tulichokishuhudia kule tabora,,aitokuwa mechi bali uchafu!
Kwa maana iyo Kila timu ishinde mechi zake na wale wabwekaji wafunge mabakuri yao akuna kucheka na kima sasa hivi ukitumia panga tunatumia shoka,,bampa to bampa mpaka kitaeleweka!
Hawa yaoni haya Tabora mfadhili na anaye ilea ni Rage, Bakheresa alikuwa muweka hazina wao,Namungo Katelephone mwanachama,Coastal waazimana mpaka makocha. Tatizo kelele nyingi ila hawaoni kundule.
 
Kesho mbumbumbu watatoka na vijora vyao vyekundu kushangilia ushindi wa mezani😅
Ila Leo wamejiliza mitandaoni

Utasikia anasemwa Yanga na mambo kibao lakini kiuhalisia mambo haya yapo kwa makolo wapiga kelele

Presha Gani kwani ni Siri iyo? Namungo ni familia na Simba kwaiyo subilia uone kinachokwenda kutokea,,wanabweka kama mbwa wakati ya kwao wanaufyata!

Hawa yaoni haya Tabora mfadhili na anaye ilea ni Rage, Bakheresa alikuwa muweka hazina wao,Namungo Katelephone mwanachama,Coastal waazimana mpaka makocha. Tatizo kelele nyingi ila hawaoni kundule.
Mnalazimisha kubalance tuhuma ila mnajidhalilisha tu.

Msimu wa juzi Namungo alisitisha mbio za ubingwa za Simba kwa kulazimisha sare. Msimu uliopita Namungo alisitisha mbio za kuwania nafasi ya pili za Simba kwa kumfunga. Coastal kalazimisha sare katika msimu huu ulio tight ambao kila point ni muhimu.

Haya tuambieni, ni lini moja ya tawi la GSM liliwahi kuifunga chura au hata kulazimisha tu sare?
 
GSM ana tawi Gani tena?
 
Tunawaza kama nyie mnavyo waza mnasema tunabalance wakati ndio ukweli mwenyewe.

Bakheresa miaka ya nyuma alikuwa muweka hazina wa Kolo FC kama unabisha watafute wazee wa timu yako na hata eFM walizungumzia hili na kadi anayo. Namungo huyo Mgunda ni mmemgeuza kama Spair tyre mda wowote mkimtaka mnampata ( hili nalo unahitaji uthibitisho).Tabora Rage kule ndiye anailea timu ile sizani hili nalo kama,kama linahitaji uwe Genius. Namungo walitukazia miaka minne mfululizo Yanga,kumbe behind the scene huku katelephone anaweka mzigo. Hatuongei haya sisi tulichofanya kuwekeza kwenye timu yetu.

Msimu huu tu mechi tatu mmebebwa JKT,Azam offside mbili(hii zaka alikausha wangekuwa Yanga kelele kibao),Dodoma Jiji maamuzi ya utata.Tukija kwenye penalty nyie ndio mnaongoza.Ila husikii kelele,sizazungumzia dk za nyongeza nk

Ndio maana tunasema nyie hamulioni Kundule lenu, bila kusahau Coastal Unioni pale mnazimana makocha au hili nalo unakataa.
 
Mnalazimisha kubalance tuhuma ila mnajidhalilisha tu.

Msimu wa juzi Namungo alisitisha mbio za ubingwa za Simba kwa kulazimisha sare. Msimu uliopita Namungo alisitisha mbio za kuwania nafasi ya pili za Simba kwa kumfunga. Coastal kalazimisha sare katika msimu huu ulio tight ambao kila point ni muhimu.

Haya tuambieni, ni lini moja ya tawi la GSM liliwahi kuifunga chura au hata kulazimisha tu sare?
Acha kuruka ruka.kama maharage, tuambie ni lini mgunda alimfunga simba? Si ni mgunda huyu huyu alifungwa goli 8 kwa 1 na Saidoo akapiga goli 5 ili awe mfungaji bora?
 
Tunawaza kama nyie mnavyo waza mnasema tunabalance wakati ndio ukweli mwenyewe.

Bakheresa miaka ya nyuma alikuwa muweka hazina wa Kolo FC kama unabisha watafute wazee wa timu yako na hata eFM walizungumzia hili na kadi anayo. Namungo huyo Mgunda ni mmemgeuza kama Spair tyre mda wowote mkimtaka mnampata ( hili nalo unahitaji uthibitisho).Tabora Rage kule ndiye anailea timu ile sizani hili nalo kama,kama linahitaji uwe Genius. Namungo walitukazia miaka minne mfululizo Yanga,kumbe behind the scene huku katelephone anaweka mzigo. Hatuongei haya sisi tulichofanya kuwekeza kwenye timu yetu.

Msimu huu tu mechi tatu mmebebwa JKT,Azam offside mbili(hii zaka alikausha wangekuwa Yanga kelele kibao),Dodoma Jiji maamuzi ya utata.Tukija kwenye penalty nyie ndio mnaongoza.Ila husikii kelele.

Ndio maana tunasema nyie hamulioni Kundule lenu, bila kusahau Coastal Unioni pale mnazimana makocha au hili nalo u akataa.
Mbona unazunguuuuka dogo. Kama nia ni kupata point za bure bure kila wakati, nimekuonyesha mifano hai na halisi ya jinsi Simba imeshindwa tena na tena kupata hizo point kwa timu hizo tena katika nyakati ambazo inazihitaji sana. Ndiyo maana nasema mnalazimisha kile kisicholazimishika.

Kutoa historia ya mtu siyo ishu. Kuna watu walikuwa CHADEMA jino kwa jino sasa hivi ni viongozi waandamizi serikalini na ndani ya CCM.

Nimekwambia, tupe mfano hata mmoja wa tawi la GSM kuifunga chura au hata basi kulazimisha sare.
 
Acha kuruka ruka.kama maharage, tuambie ni lini mgunda alimfunga simba? Si ni mgunda huyu huyu alifungwa goli 8 kwa 1 na Saidoo akapiga goli 5 ili awe mfungaji bora?
Nipe list ya mechi ambazo Mgunda amekuwa kocha dhidi ya Simba maana hiyo mechi ya Saido kufunga goli 5 wala siijui. Nahisi naongea na mtu asiyejua anachokiongea.
 
Mbona unazunguka dogo. Kama nia ni kupata point za bure bure kila wakati, nimekuonyesha mifano hai na halisi ya jinsi Simba imeshindwa tena na tena kupata hizo point kwa timu hizo tena katika nyakati ambazo inazihitaji sana. Ndiyo maana nasema mnalazimisha kile kisicholazimishika.

Kutoa historia ya mtu siyo ishu. Kuna watu walikuwa CHADEMA jino kwa jino sasa hivi ni viongozi waandamizi serikalini na ndani ya CCM.

Nimekwambia, tupe mfano hata mmoja wa tawi la GSM kuifunga chura au hata basi kulazimisha sare.
Sijalazimisha niliyo weka kuhusiana na Tabora,Azam,Namungo, JKT,Dodoma na Coastal mifano halisi.

Hivi Kolo FC mlipokuwa mnawaondoa makocha,huwaga mnamkibiliaga na kama Sio Mgunda hili nalo unahitaji tubishane,wakati Mgunda yupo kama Spair Tyre.
 
Bakheresa miaka ya nyuma alikuwa muweka hazina wa Kolo FC kama unabisha watafute wazee wa timu yako na hata eFM walizungumzia hili na kadi anayo.
Hebu watajie utopwinyo wenzio namba za kadi ya Bakheresa ili wakaze kamba kwamba huyo jamaa ni Simba damu na sio mfanyabiashara
 
Sijalazimisha niliyo weka kuhusiana na Tabora,Azam,Namungo, JKT,Dodoma na Coastal mifano halisi.

Hivi Kolo FC mlipokuwa mnawaondoa makocha,huwaga mnamkibiliaga na kama Sio Mgunda hili nalo unahitaji tubishane,wakati Mgunda yupo kama Spair Tyre.
Definition ya tawi ni kuwa unamfunga leo, kesho na keshokutwa, yaani kila unapojisikia na siku mnatoka sare au anakufunga ni pale matokeo hayo hayana athari kwako.

Kwa kusema hivyo, ili nisipoteze muda kurudia nilichosema, rudia post #11 kuhusiana na Namungo, Coastal na Azam halafu niambie kama wanafiti kwenye definition hiyo.
 
Hebu watajie utopwinyo wenzio namba za kadi ya Bakheresa ili wakaze kamba kwamba huyo jamaa ni Simba damu na sio mfanyabiashara
Hili nalo linahitaji ubishi mpaka eFM walilizungumza,sasa chombo cha habari wanawasingizia? Tatizo Nyani haoni Kundule.
 
Back
Top Bottom