Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

Mimi Kwa Sasa humu jukwaani nakukubali Sana. Ila hoja ya mleta hoja ina hoja.
Maneno yako ni ya kiuanamichezo Sana, kwamba Kila Mbabe ana Mbabe wake, Kila mrefu ana mrefu wake nk.
Na huo ndo ukweli, asitokee Mtu akatuambia huyu kapigwa Kwa sababu Kila Mpinzani anaambiwa asikinge uso ili ngumi ziingie bila kipingamizi.
 
Mbumbumbu pro max

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chomoa uja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GENTAMYCINE anasema Namungo siyo wadhaifu Kwa kuwa kwanza wanafundishwa na Kocha Kaze
 
Aahaaaa
 
Watajifanya hawaoni hiki
 
Na nyie wekeni watu wenu
 
Game ya leo kipindi cha kwanza itakua ngumu ila cha pili tutajionea
 
😂😂Ila watu bana hili TFF hawalijui mpaka mimi na wewe tulijue? Bodi ya ligi je
 
😂😂Ila watu bana hili TFF hawalijui mpaka mimi na wewe tulijue? Bodi ya ligi je
TFF ipi?Kuna ligi duniani timu inacheza mechi tatu za mwanzoni zote nyumbani?Kuna ligi timu zinaahidiwa pesa zikicheza na timu fulani tu huku TFF na Bodi ya ligi zimekaa kimya?Kuna ligi refa aliyesimamishwa na FIFA kwa kufeli Cooper Test anachezesha na alichaguliwa kuwa refa bora? Timu imecheza mechi Kigoma na baada ya siku mbili inatakiwa icheze Mbarali!
Tangu ligi ianze uliona timu kubwa zikicheza saa nane?Ligi ya England timu zote zina haki sawa kwenye ratiba. TFF huwa ndio inaamua kubeba timu kwa ratiba na marefa hakuna haki sawa kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…