Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Mimi Kwa Sasa humu jukwaani nakukubali Sana. Ila hoja ya mleta hoja ina hoja.UTOTO RAHA SANA ALAFU UKIJUA ITAKUSAIDIA NINI??????
LENGO LAKO HASA NI NINI
HILI NI JUKWAA LA MICHEZO NA SI JUKWAA LA USHABIKI ,WALA UPINZANI.
Ndio maana mnaambiwa kuwa WENYE akili Timamu ni wawili tu.
Kila mtu ana Mrefu wake na Kila Mtu ana Mfupi wake.
JESHI la south Africa ni JESHI Hodari.
Lakini likikabiriana na JESHI ALA marekani tutasemaje!!????
Kila mibonde ana Kibonde wake,
Na Kila Hodari ana Hodari wake.
Udhaifu Inategemeana umekutana na nani.
Maneno yako ni ya kiuanamichezo Sana, kwamba Kila Mbabe ana Mbabe wake, Kila mrefu ana mrefu wake nk.
Na huo ndo ukweli, asitokee Mtu akatuambia huyu kapigwa Kwa sababu Kila Mpinzani anaambiwa asikinge uso ili ngumi ziingie bila kipingamizi.