Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

Usiseme tu weka wazi timu gani ziliahidiwa pesa au tupe ushahidi hela zilizotolewa timu fulani zikipewa ili zifungwe mkuu

Hili la timu baadhi kucheza mchana saa8 ni udhaifu wa wapanga ratiba na linapigiwa kelele mara nyingi
 
Mkuu hujui kwamba Prisons, Dodoma Jiji na KMC waliahidiwa pesa?Kuhusu saa 8 hatua zipi zimechuliwa?Timu kucheza mechi 3 nyumbani umeona wapi?
 
Ile Ngao ya Jamii ambayo ilifikia wakati mlikuwa mnaombea mpira uishe tu ili mkabahatishe kwenye changamoto ya mikwaju ya penati!

Ile Ngao ya Jamii ambayo tulishuhudia timu moja ikipelekewa moto ndani ya dakika zote 90 za mchezo!!
Na mlifungwaaaa, tutoleee kelele zako hapa

Sasa unapeleka motooo na hufiki mshindo inasaidia nn? Mwenzako kakugeuza chap kakukojolea kojo zitooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtakuja kuuumia very soon
 
Naunga mko hoja 👍👍👍
 
Mashabiki wa makolo wana depression wamejaa ubishi na kuyaonea wivu mafanikio ya yanga soon mtakuwa wajane nyie
 
Unajua kinachozungumzwa hapa? Ni kufungwa match nyingi na magoli mengi.
Usitoke nje ya madaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa wew na mimi nani kamkanda mwenzie sana nimekuzidi kila kitu hadi dhambi mtani wew una timu ya hovyo sana subiria baadae kupata burudani ya soka safi sio soka la kuloga hovyo ili ushinde
 
Sawa wew na mimi nani kamkanda mwenzie sana nimekuzidi kila kitu hadi dhambi mtani wew una timu ya hovyo sana subiria baadae kupata burudani ya soka safi sio soka la kuloga hovyo ili ushindeView attachment 2755837
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had dhambii mbna tunajua, kabwili alithibitisha, na Feitoto alikimbia hicho.

Bado hujasema, yaan had usemee.
 
Na al mereikh na adt nako tuna viongozi? We mwehu kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had dhambii mbna tunajua, kabwili alithibitisha, na Feitoto alikimbia hicho.

Bado hujasema, yaan had usemee.

Mwamedi kawala kichwa humu kipa la hovyo
 
We Kweli Mama Kolo, Kolo Kimbo Kabisaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…