mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Usiseme tu weka wazi timu gani ziliahidiwa pesa au tupe ushahidi hela zilizotolewa timu fulani zikipewa ili zifungwe mkuuTFF ipi?Kuna ligi duniani timu inacheza mechi tatu za mwanzoni zote nyumbani?Kuna ligi timu zinaahidiwa pesa zikicheza na timu fulani tu huku TFF na Bodi ya ligi zimekaa kimya?Kuna ligi refa aliyesimamishwa na FIFA kwa kufeli Cooper Test anachezesha na alichaguliwa kuwa refa bora? Timu imecheza mechi Kigoma na baada ya siku mbili inatakiwa icheze Mbarali!
Tangu ligi ianze uliona timu kubwa zikicheza saa nane?Ligi ya England timu zote zina haki sawa kwenye ratiba. TFF huwa ndio inaamua kubeba timu kwa ratiba na marefa hakuna haki sawa kwa wote.
Hili la timu baadhi kucheza mchana saa8 ni udhaifu wa wapanga ratiba na linapigiwa kelele mara nyingi