Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Ni dhaifu au siyo dhaifu?
 
Hii ya Ngao ya Hisani
Ile Ngao ya Jamii ambayo ilifikia wakati mlikuwa mnaombea mpira uishe tu ili mkabahatishe kwenye changamoto ya mikwaju ya penati!

Ile Ngao ya Jamii ambayo tulishuhudia timu moja ikipelekewa moto ndani ya dakika zote 90 za mchezo!!
 
Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Kuna namna rage alikuwa sawa
 
Itakuwa wana mtu hata ndani ya El Merreick ?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
UTOTO RAHA SANA ALAFU UKIJUA ITAKUSAIDIA NINI??????

LENGO LAKO HASA NI NINI

HILI NI JUKWAA LA MICHEZO NA SI JUKWAA LA USHABIKI ,WALA UPINZANI.

Ndio maana mnaambiwa kuwa WENYE akili Timamu ni wawili tu.

Kila mtu ana Mrefu wake na Kila Mtu ana Mfupi wake.

JESHI la south Africa ni JESHI Hodari.

Lakini likikabiriana na JESHI ALA marekani tutasemaje!!????

Kila mibonde ana Kibonde wake,
Na Kila Hodari ana Hodari wake.

Udhaifu Inategemeana umekutana na nani.
Hili kolo linajionaga smart kweli[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom