Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hii ya Ngao ya HisaniSimba ipi hiyo! Hii hii ya pira papatu papatu!!! Kuwa serious kijana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya Ngao ya HisaniSimba ipi hiyo! Hii hii ya pira papatu papatu!!! Kuwa serious kijana.
Ni dhaifu au siyo dhaifu?Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Ile Ngao ya Jamii ambayo ilifikia wakati mlikuwa mnaombea mpira uishe tu ili mkabahatishe kwenye changamoto ya mikwaju ya penati!Hii ya Ngao ya Hisani
Nimecheka kwa sauti ya 4 "Bass" hadi Watu wananishangaa hapa Mlimani City kwenye cars parking [emoji2]
Kuna namna rage alikuwa sawaYanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Simba hiyo ilishinda goli ngapi kwenye mechi ya ngao ya hisani dhidi ya Bingwa wake Yanga wa misimu miwili mfululizo(2021/2022 & 2022/2023)?Hii ya Ngao ya Hisani
Kumbuka alisema vile na uchaguzi alishindaKuna namna rage alikuwa sawa
Hahahaa. Lol.Nimecheka kwa sauti ya 4 "Bass" hadi Watu wananishangaa hapa Mlimani City kwenye cars parking [emoji2]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Aisee! Walikubali ukweli. 😀Kumbuka alisema vile na uchaguzi alishinda
Hahahahaha,Mtani banaAisee! Walikubali ukweli. 😀
Ningekuwa mie asingepata kura yangu aisee.Hahahahaha,Mtani bana
Aiseeee..!Kumbuka alisema vile na uchaguzi alishinda
Itakuwa wana mtu hata ndani ya El Merreick ?Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Hili kolo linajionaga smart kweli[emoji23][emoji23]UTOTO RAHA SANA ALAFU UKIJUA ITAKUSAIDIA NINI??????
LENGO LAKO HASA NI NINI
HILI NI JUKWAA LA MICHEZO NA SI JUKWAA LA USHABIKI ,WALA UPINZANI.
Ndio maana mnaambiwa kuwa WENYE akili Timamu ni wawili tu.
Kila mtu ana Mrefu wake na Kila Mtu ana Mfupi wake.
JESHI la south Africa ni JESHI Hodari.
Lakini likikabiriana na JESHI ALA marekani tutasemaje!!????
Kila mibonde ana Kibonde wake,
Na Kila Hodari ana Hodari wake.
Udhaifu Inategemeana umekutana na nani.
Hakuna kuwapumzisha Makolo ,wacha waisome namba.Umejua kuwaweza.
Inabidi mwendo uwe huu huu kila Timu ya Wananchi itakapotaka kucheza.
Kabisa Mkuu.Hakuna kuwapumzisha Makolo ,wacha waisome namba.