Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.

Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.

kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
 
Huyo ni mke wako au kifo chako? Anyway inaonekana keshapitia mengi kuhusu wanaume so kaamua wewe uwe wa mwisho ktk kuhangaika kwake, kuwa makini atakujunywa supu kweli wanawake Mungu mwenyewe anajua alipowakisea ktk uumbaji wake.
 
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua, kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.

Je Una pesa kiasi gani....????

Je! Mke wako wa Kilimanjaro sehemu gani......
Ukiyapatia majibu maswali haya your.....safe
 
Huyo achana nae mkuuu hayo matukio yamezidi sana kisa wivu wakimapenzi, atauawa kumbe hukuwa na michepuko ila ni hofu yake tu
baada ya kuona niko na hofu alinambia ananitania hawezi fanya hivyo. hofu yangu ni kua dada ake ananambia aliwahi kumwagia ndugu yake chai ya moto alipokua na hasira. sasa niki reflect hayo matukio nahisi kama anamaanisha vile
 
Huyo ni mke wako au kifo chako? Anyway inaonekana keshapitia mengi kuhusu wanaume so kaamua wewe uwe wa mwisho ktk kuhangaika kwake, kuwa makini atakujunywa supu kweli wanawake Mungu mwenyewe anajua alipowakisea ktk uumbaji wake.
Aziniye na mwanamke hana akili, wahuni kwa hili andiko bora tugonge nyex tu. Ukila mbususu wewe ni bwege unaejiandalia mwisho wako.
 
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua, kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.

kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Mhhh. Lisemwalo lipo. Hamna suala la casual.
 
Kwa nn wagonjwa wa akili mnakaa nao nyumbani ?? Hospital zimebaki na watu wazima
 
Matatizo yote yameanza na hizi Dini za kuwa na Mke mmoja,sasa Mwanamke anajiona kama yeye ndio anakumiliki na hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine kiti ambacho ni opposite kabisa.

Huyo Mkeo kaa nae chonjo alichokisema amemanisha sana,na bila shaka ana michepuko.
 
Kiufupi ningekuwa mimi huyo mwanamke namuacha mchana kweupe kwa sababu najua pamoja na kuoa bado sketi huko nje zitanichanganya tu na huu udhaifu tumeumbiwa wote mimi na wewe mtoa mada na wanaume wengine

Tofauti na hapo labda uwe hauna pesa au nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom