Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

Usipuuzie hizo kauli tena endapo huwa anarudia mara kwa mara
ni kweli mkuu kwa sasa najikaza kiume nijue huku nikichunguza kwa karibu, niliwahi kumuuliza kua kama wakiingia majambazi unaweza kumkata panga, au kumpiga lisasi, akasema anaweza. sasa namchunguza kwa karibu ingawa sitaki ajue kwa sasa niko na hofu
 
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua, kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.

kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Acheni kuoa wanawake wabaya na wasio na feature
 
ni kweli mkuu kwa sasa najikaza kiume nijue huku nikichunguza kwa karibu, niliwahi kumuuliza kua kama wakiingia majambazi unaweza kumkata panga, au kumpiga lisasi, akasema anaweza. sasa namchunguza kwa karibu ingawa sitaki ajue kwa sasa niko na hofu
Ila una uhakika upo hai kwa sasa! Na unaweza kutuhakikishia hilo?
 
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua, kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.

kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Mjomba unalo...duh...hapo roho mkononi siku yoyote unapotezwa.

Ila ukiacha kuchepuka hautakuwa na cha kuhofia juu ya uhai wako

Njia nyingine ya kujiokoa kama hauwezi kuacha kuchepuka ni kuhama chumba uwe unalala peke yako. Muwe mnakutana kwa tendo tu mkimaliza kila mtu akalale kwake tena mlango wako wa chumba ufunge na kofuli kwa usalama wako
 
nawe mwambie ivo ivo ukichepuka nikifahamu tuu nakuua chap ngoma iwe draw
 
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua, kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.

kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Kama huchepuki unaogopa nini? Kama unachepuka ni kwanini?
 
Mie ninaamini katika kuacha chochote ambacho kinanimyima Amani ya moyo.

Kwanza mikiwa nadeti na Mwanamke atajua tu kwamba hayupo pekeake automatically

Na pia mie kama muislamu amajua kabisa Naweza kuwa na wanawake hadi wanne ninapotaka mimi mwenyewe.

Kwa hali kama hiyo Kutishiwa kufa ni kitu aerious saana aio cha kuletea mvhezo. Ataripotiwa Polisi na Pia Talaka Fastaa.

Huwezi ishi na Mtu anakutishia kukuua bila chembe ya uoga.
 
Back
Top Bottom