Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

Anajihami na kulinda mali zake. Hawezi kufanya alichokuambia
 
Niliwah kuwa na mke wa hiv bahati nzur nilikuwa naishi na wazazi,wazazi walifanya juu chini mpaka tukaachana

Aliwah kujitia kitanzi mara mbili nikawa namuokoa tatzo likiwa ni simu akisikia maex wananiomba hela inakuwa ni tatzo

Baada ya kujaribu hzo mara mbili namuokoa baadae aliniambia hatajidhuru tena bali ataniua mimi,wazazi niliwaambia hii sentensi wakaamua kuivunja ndoa
 
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua

Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.

kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Mwambie pia kwamba wewe ukisikia yeye anachepuka hutachunguza ni risasi saba za kichwa bila kusita.
 
Wewe unaogopa kufa kwani hutaki kwenda mbinguni? Au wewe mtenda dhambi?

Ushauri wangu toa sadaka mali zako zote kwani karibuni huyo mchumba wako atakurejesha kwa baba wa mbinguni. Pia tubu dhambi zako.
Aisee. Nimecheka kweli hii comment.
 
Muwahi wewe kabda hajakuwahi mkuu. Bora watoto wapoteze mama baba uwepo utasimamia malezi kuliko kuwaacha mayatima maskini ya Mungu.Muwahi faster baharia
 
Hakuna shida utatangulia tu na yeye atafata hakuna wa kuishi milele.
 
baada ya kuona niko na hofu alinambia ananitania hawezi fanya hivyo. hofu yangu ni kua dada ake ananambia aliwahi kumwagia ndugu yake chai ya moto alipokua na hasira. sasa niki reflect hayo matukio nahisi kama anamaanisha vile
Wanawake wana tabia ya kuongea feelings zao tofauti na sisi kwa hiyo usichukulie poa hiyo kauli.
 
Hakunaga utani wa hivyo. Mtu yoyote mwenye hofu ya Mungu hawezi kuzungumza maneno hayo, hapo huna mke bali una matatizo
 
Ila wanaume tunazidi kupungua.
Sasa jitu kama hili nalo linapigwa biti na mkewe eti linakuja kushtaki jf.pathetic
 
Back
Top Bottom