Je Una pesa kiasi gani....????Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua, kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
baada ya kuona niko na hofu alinambia ananitania hawezi fanya hivyo. hofu yangu ni kua dada ake ananambia aliwahi kumwagia ndugu yake chai ya moto alipokua na hasira. sasa niki reflect hayo matukio nahisi kama anamaanisha vileHuyo achana nae mkuuu hayo matukio yamezidi sana kisa wivu wakimapenzi, atauawa kumbe hukuwa na michepuko ila ni hofu yake tu
Aziniye na mwanamke hana akili, wahuni kwa hili andiko bora tugonge nyex tu. Ukila mbususu wewe ni bwege unaejiandalia mwisho wako.Huyo ni mke wako au kifo chako? Anyway inaonekana keshapitia mengi kuhusu wanaume so kaamua wewe uwe wa mwisho ktk kuhangaika kwake, kuwa makini atakujunywa supu kweli wanawake Mungu mwenyewe anajua alipowakisea ktk uumbaji wake.
Mhhh. Lisemwalo lipo. Hamna suala la casual.Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua, kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Kwa nn wagonjwa wa akili mnakaa nao nyumbani ?? Hospital zimebaki na watu wazimaMwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua, kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.