Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

Usipuuzie hizo kauli tena endapo huwa anarudia mara kwa mara
ni kweli mkuu kwa sasa najikaza kiume nijue huku nikichunguza kwa karibu, niliwahi kumuuliza kua kama wakiingia majambazi unaweza kumkata panga, au kumpiga lisasi, akasema anaweza. sasa namchunguza kwa karibu ingawa sitaki ajue kwa sasa niko na hofu
 
Acheni kuoa wanawake wabaya na wasio na feature
 
ni kweli mkuu kwa sasa najikaza kiume nijue huku nikichunguza kwa karibu, niliwahi kumuuliza kua kama wakiingia majambazi unaweza kumkata panga, au kumpiga lisasi, akasema anaweza. sasa namchunguza kwa karibu ingawa sitaki ajue kwa sasa niko na hofu
Ila una uhakika upo hai kwa sasa! Na unaweza kutuhakikishia hilo?
 
Mjomba unalo...duh...hapo roho mkononi siku yoyote unapotezwa.

Ila ukiacha kuchepuka hautakuwa na cha kuhofia juu ya uhai wako

Njia nyingine ya kujiokoa kama hauwezi kuacha kuchepuka ni kuhama chumba uwe unalala peke yako. Muwe mnakutana kwa tendo tu mkimaliza kila mtu akalale kwake tena mlango wako wa chumba ufunge na kofuli kwa usalama wako
 
nawe mwambie ivo ivo ukichepuka nikifahamu tuu nakuua chap ngoma iwe draw
 
Kama huchepuki unaogopa nini? Kama unachepuka ni kwanini?
 
Mie ninaamini katika kuacha chochote ambacho kinanimyima Amani ya moyo.

Kwanza mikiwa nadeti na Mwanamke atajua tu kwamba hayupo pekeake automatically

Na pia mie kama muislamu amajua kabisa Naweza kuwa na wanawake hadi wanne ninapotaka mimi mwenyewe.

Kwa hali kama hiyo Kutishiwa kufa ni kitu aerious saana aio cha kuletea mvhezo. Ataripotiwa Polisi na Pia Talaka Fastaa.

Huwezi ishi na Mtu anakutishia kukuua bila chembe ya uoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…