When a woman loves🤐Living in Buza with him my life will be more glamorous than living in Ibiza without him.
I love the guy.
Ooh LordNakataa hiyo roho ya nyuma geuka kwa jina la Yesu😂.
Mim na yeye ni mbele kwa mbele tu
😭Mtaachana tu...no mara waa
Huchukulii hiyo tabia kama gubu mkuu?Umenikumbusha na wa kwangu tukiwa tunachat nikimkera anakuaga mkali kwenye sms ila nikimpigia simu au tukiwa live tuyamalize maneno yote yanamuisha Yani anakuwa siyo yule wa kwenye sms.....hii inafanya hata ugomvi uwe mkubwa vipi ,na solve kwa muda mfupi
Naamin nitaleta mrejesho wa happy ending😂
Kujibizana live na mtu ana ndevu zake yataka ujasiri sana aisee.Sms mwokozi wetu😂
That's it! TIMEMay be time will tell
😍😍😍🌹🌹There’s dangerous in loving somebody too much!