Namuogopa X wangu

yani weeee hadi utatamani siku zirudi nyuma usiwahi mfahamu tena,,ila nyie kuna watu wanateseka kwenye haya mahusiano na hawana la kufanya,mtu anakwambia kabisa,bora tukose wote kwaio nakuua
Usiombe ukutane na mtu wa hivyo, yani kwake yeye cha thamani sana ni wewe mpenz wake na hayupo tayari kukupoteza kwa namna yeyote ile kwahiyo ukiwa against nae kukuletea shida ni kugusa tu.
 
afu unakuta mtu mwenyewe mkorofi balaa hakujali kwa lolote,, yaani muda anaokua mzuri ni akitaka mzigo aseeee unaeza konda hadi meno dadeqiiiii
 
Siku ntamnywea pombe then nampa shit
Siku hiyo ndio utadhihirisha yakuwa bado unampenda si unajua pombe huwa haiongopi, nyie mtajarudiana wewe bado una hasira za aliyokutenda ila ipo siku utasahau na utapoa.
 
afu unakuta mtu mwenyewe mkorofi balaa hakujali kwa lolote,, yaani muda anaokua mzuri ni akitaka mzigo aseeee unaeza konda hadi meno dadeqiiiii
Nashukuru Mungu mapito yangu hadi sasa sijawai kutana na wa aina hiyo ila nayashuhudia kwa wadau hadi huruma.
Kuna watu mnazinguana nyumbani au kwenye simu alafu vurugu anakuja kukuletea ofisini 😂
 
Wewe ni jasiri.
Mimi Sijui ni zoba sijui ndo wale mapooza,sijui hata kwanini namuogopa.
 
Nashukuru Mungu mapito yangu hadi sasa sijawai kutana na wa aina hiyo ila nayashuhudia kwa wadau hadi huruma.
Kuna watu mnazinguana nyumbani au kwenye simu alafu vurugu anakuja kukuletea ofisini 😂
ila kuna watu vichaa nyie,hajali lolote haogopi chochote, unaeza sema uhame mji anahamia na varangati kwa ndugu zako
 
Embu vaa viatu wewe ndiyo mwanaume afu manzi ako akamwambie uongee na x wake utakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…